Recent content by SANING'O LOSHILU

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa kwenye familia masikini siyo kosa lako, ila kuoa kwenye familia masikini ni uzembe

    kwa kweli hata namshangaa huyu jamaa aliyeleta hii mada ya kipuuzi humu coz anataka wanawote tuonekane tunapenda dezo, mi nina mashaka na owezo wa kufikiri wa huyu msela
  2. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    aisee mi nimepangiwa dodoma na nataka kwenda mwanza utakubali? Kama vipi call me 0756641594 au 0716082928
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa SAUT MWANZA wapatao 120 wamefika dar salama 3 asubuhi wanamkia bodi ya mkopo

    watu wote wanaowakejeli hao wanafunzi nina mashaka kuwa hawajapitia huko hivi kabla hujaandika nonsense zako huku fikiria maisha ya ya chuo bila hela then bodi ya mikopo ni hadi uende mwenyewe ndio watakuwa serious otherwise utakaa mwaka mzima bila pesa, acheni kuwa na mawazo mgando kiasi hicho
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwa walimu wapya: Natafuta mtu kubadilishan kituo cha kazi

    Wadau mi nimepangiwa iringa natafuta mtu aliyepangwa mwanza au karibu na mwanza tubadilishane get me via 0753985758 au 0717846314
  5. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mi nipo dodoma nataka mtu aliyepangwa mwanza hasa wilaya ya nyamagana, ilemela au geita tubadilishane
  6. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    acha mawazo ya kibangi pichu wewe
  7. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mbona sijakuelewa
  8. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wadau mi nimepangwa dodoma so natafuta mtu aliyepangwa mwanza tubadilishane, get me via 0756641594/0716082928
  9. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wadau mi nimepangwa dodoma so natafuta mtu aliyepangwa mwanza tubadilishane, get me via 0756641594/0716082928
  10. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Sorry me natafuta wa kubadilishana nae aje dodoma mi niende mwanza kama unaweza niunganisha nae get me via 0716082928
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwa walimu wapya grade 3 waliopangwa dodoma

    Aisee mi nimepangwa lakini ni bachelor na natamani sana kufanyia mwanza, kama vipi fanya mchakato kama itawezekana ikiwezekana get me via 0716082928
  12. S

    JamiiForums Tanzania Natamani hata kunywa sumu, mapenzi jamani...

    Pole sana dadangu coz ndio mapenzi yalivyo lakini ni sisi wenyewe ndio tumeyaharibu kwa tamaa zetu cha kukushauri tu ni kwamba muombe Mungu sana juu ya suala lako hilo akupe uvumilivu na hekima na busara kabla ya kuchukua maamuzi yeyote coz ukiongelea swala la sumu ndio utampa nguvu shetani...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Huyu binti kanikera naomba ushauri

    acha umalaya si umesema umoa? rudi kwa mkep acha upuuzi
Back
Top Bottom