Recent content by Sangwe

  1. S

    Prof. Shivji apinga sehemu ya hukumu ya kesi ya Lema

    kesi ya ched mgonja ...next time tutasikia wana-refer hukumu ya kesi ya Dowans miaka hiyo..nchi ikiwa ukiwa ....Nauguza jeraha la risasi.
  2. S

    BAVICHA kuitisha maandamano ya kitaifa kumg'oa Dr. Slaa!

    Ndiyo yanatimia ya Mwalimu Nyerere ...upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm..! Mnashangaa nini! soma alama za nyakati! Let us wait and see!!!
  3. S

    Askofu Masoud: Wakati umefika Zanzibar kuwa na mamlaka kamili

    Kwani kilikawia kunuka ... Mara baada ya hotuba yake hiyo Fr. Emanuel Masoud (sio askofu), hao hao aliokaa nao Bwawani, Uamsho, wakavamia kanisani kwake Mkunazini na kutembeza kichapo na kuharibu mali...kama si FFU. Askofu Hafidhi wa Anglican Zanzibar akatorokea Dar! WANAFKI TU...!! Hawataki...
  4. S

    Z'bar tuachwe tupumue...

    Jusa, sheikh Farid, sheikh Jabir ndio damu ya kizanzibari halisi....? Nani mzanzibar....!! NAWASALIMU TU WAUNGWANA!
  5. S

    Mdee amlipua Pinda

    Ukimsikiliza mwanasheria mkuu...safari ya kupata uhuru wa Tz kutoka mafisadi itapatikana kweli kwa dola hii.... NAWASALIMU WAKUU..!
Back
Top Bottom