Recent content by Sangwa

  1. S

    Tunashona nguo za kike na za kiume za aina zote

    Karibu Sana, Una maanisha Airtel?
  2. S

    Tunashona nguo za kike na za kiume za aina zote

    Habari Wadau, Sisi tunajihusisha na ushonaji wa nguo za aina zote kwanza, Nguo za Harusi ( Suti na Magauni) Uniform za Maoffisi na Mashuleni Mishono ya Vitenge Casual Wear etc Karibuni Ofisi zetu zipo kinondoni Manyanya opposite na American Chips. Mawasiliano 0737610682
  3. S

    Karibu katika shule ya Ushonaji

    Kinondoni Manyanya Karibu Sana
  4. S

    Karibu katika shule ya Ushonaji

    💥UNGEPENDA KUJIFUNZA KUSHONA?! HII NI NAFSI YAKO..💥 ⚫JE, umemaliza darasa la saba, form 4 au form 6 umekaa nyumbani bila mwelekeo au umeajiriwa lakini unatamani kujifunza kushona iliupate side hustle ujiongezee kipato? Karibu uweze kujiunga na darasa letu la ushonaji @angelic_threadstz ili...
  5. S

    Fundi Kushona anahitajika

    Ndo maana namba imewekwa hapo..kwa maswali yeyote unaweza kuwasiliana kwa simu
  6. S

    Fundi Kushona anahitajika

    Sawa karibu
  7. S

    Fundi Kushona anahitajika

    Fundi Nguo anahitajika haraka, awe Ana uwezo wakushona mitindo ya kisasa hasa ya wanawake, mchapakazi mbunifu na mwenyekujituma. Awe na ujuzi wa miaka 3 na ziadi, Mkazi wa Dar..Piga namba hii 0737610682
  8. S

    Ni wapi Tanzania wanatoa kozi za CFA (Certified Financial Analyst) au CFP (Certified Financial Planner)

    Emerson pale karibu na regency hospital wanatoa tuition course lakini mtihani unafanya Kenya au South Africa hamna center tz
  9. S

    Fundi nguo anahitajika

    Fundi nguo anahitajika Awe na miaka 24 - 38 Awe na uzoefu usiopungua miaka 3 Awe anajua kushona nguo za kike vizuri Awe Mchapakazi, Muaminifu na Mtafutaji Ofisi ipo Dar Kinondoni Studio wasiliana na namba 0737 610 682. Similar threads Natafuta fundi wa kushona nguo Fundi nguo...
  10. S

    Natafuta kazi za kuchapa (ku-type)

    Hizi kazi hadi Leo zipo?
  11. S

    Fundi nguo anahitajika

    Fundi nguo anahitajika Awe na miaka 24 - 38 Awe na uzoefu usiopungua miaka 3 Awe anajua kushona nguo za kike vizuri Awe Mchapakazi, Muaminifu na Mtafutaji Ofisi ipo Dar Kinondoni Studio wasiliana na namba 0737 610 682.
Back
Top Bottom