Recent content by sangutusya

  1. S

    JamiiForums Tanzania HESLB yatoa Awamu ya Nne na ya mwisho wanafunzi waliopangiwa mikopo

    mbona mimi haifunguki......msaada wa kuniangalizia S2192.0075.2012
  2. S

    JamiiForums Tanzania CAS is now open for 2nd round applications only

    wewe acha kudanganya. wameandika 2round application will be announced soon? wewe hiyo umesoma wapi?
  3. S

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    subiri hata 24hrs itakuwa tayari. mm mwenyewe ilinitokea hivyo, but baada ya masaaa kadhaa ilikubali
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    naomba msaada, nimelipa pesa HESLB Kwa m-pesa, cha ajabu mpaka sasa hv hawajarudisha message yenye ID itakayonisaidia kuomba mkopo kuingia online. wamerudisha message ya malipo tuu. nifanyeje naomba ushauri wenu. ahsante
  5. S

    JamiiForums Tanzania vipi ajira za ualimu mwaka kesho(2015/2016)

    hakuna ajira za walimu wa sanaa na biashara kwa mwaka 2015/2016. kwa wale tunaotegemea kufanaya UE mwezi ujao, kiinua mgongo tutakacho pata mwezi huu tukitumie vizuri maana kitakusaidia kufanya business, then pesa ya vocha hutakuwa unaikosa mkuu. huo ndio ushauri wangu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mhitimu diploma, natafuta ajira (maths)

    hebu jitolee shule yeyote hapo, the baada ya muda wakikubali watakulipa. saiz ajra ni za kujitolea
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya mbona kimya?

    application zilishaanza. Now you apply on line. Ingia nacte utapata maelekezo vizuri pamoja na ambao wanataka ku apply ualimu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    ya kufanya kazi ya kufundisha.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    specilize ya masomo yangu ni ECONOMICS and mathematics, but geography is just an adition. upo hapo mkuuu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    Natafuta kazi yoyote. Taaluma yangu ni mwalimu wa shahada ya kwanza masomo ya Economics, mathematics na geography. nina umri wa miaka 26 Mtanzania na ninaishi Morogoro, nina uzoefu wa miaka miwili. Ahsante. Contact: 0766507383
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kozi za kusoma Chuo Kikuu kwa aliyesoma HGL

    course ya kusomea chuo kikuu inategemeana na matokeo yako ya form six, so wait until you get your result
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mafunzo kwa vitendo (BTP) kwa walimu tarajali yafutwa rasmi

    yapu boom lipo. wameanza kutoa kuanzia mwaka ulipita. kama kafaulu vizuri subiri application zitakapotangazwa
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mafunzo kwa vitendo (BTP) kwa walimu tarajali yafutwa rasmi

    sijui wanaosimamia sector hii wanaipeleka wapi elimu yetu. ufisadi wa pesa ndio umefanya wasiende vitendo kwa mafuzo, escro imefilisi.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    mshahara wa mwalimu mwenye shahada ni kiasi gani?
Back
Top Bottom