Moja ya sifa kuu ya rais Magufuli, ni hatua alizochukua kubana matumizi. Hatua alizochukua zimewavutia watu ndani na nje ya nchi, hatua kama, kupunguza safari za nje, kuzuia vikao kufanyika hotelini, kupunguza posho, kufuta sherehe za uhuru, kukataa semina elekezi,vikao kuandaliwa kwa bajeti...