Recent content by sangoduli

  1. S

    Mayweather Vs. McGregor ni zaidi ya boxing. Usikose

    Natabiri anguko la Mayweather. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    Mpenzi wangu anaenda chuo kikuu nifanyeje asiniache?

    Yan hapo hakuna namna lazma amegwe tu, hata ukifunga nae ndoa kabla kugegedwa kuko pale pale, tumeshuhudia sana walokuja na pete zao za ndoa walizivua baada ya muda na ku date na wengine! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    Najuta kujipendekeza kuoa

    Bro pole saana, kwanza suala tu lakumuulizia x wake halafu ye akaanza kuonesha huzuni na kulia ni dhahiri kwamba jamaa alikua ndo the best kwa mkeo, inavoonekana mshkaji alikua akipiga mechi za kibabe mpaka wanajikuta wako chini ya uvungu hivo umemkumbusha mbali,kwa hiyo subiri waanze kupasha...
Back
Top Bottom