Mzee poa sana hakutaka makuu, Mungu huinua awatakaye, mwenyenzi Mungu amlaze mahala pema peponi. Ndiyo ilikuwa muda wa kula maisha ila ndiyo hivyo duniani siyo kwetu!
Kweli nchi yetu Mjerumani alicheza mchezo mkali ukiangalia tu ramani ya Africa unajua iko wapi, imezungukwa na maziwa makubwa matatu; Victoria, Tanganyika na Nyasa.
Ila wakinga wana roho ngùmu sana km anaweza kumtoa mtoto wake wa kumzaa kafara ili apate madaraka au mali atawajali wafanyakazi? Km mnaweza mkamloge, au tafuteni semi mvizieni akitoka na kigari chake mkamalize watu wenye roho mbaya km hao dawa yao ilikuwa kuwatanguliza ahera!
Mtu hataki kulipa...
We kweli ni nyumbu zero brain unashabikia kitu huelewi km zoba. Hapo Mnyika ni zero kabisa mnaona mwenyekiti wenu anafungwa mchana kweupe. Kweli kuwa mfuasi wa chadema ni km wafuasi wa Joseph Kibwetere wa Uganda akili zao zote wamezikabidhi kwa Lissu.
Ni hivi karibuni waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda alikumbushia muda wa wanafunzi kufika shuleni asubuhi ni saa 2 asubuhi. Na hiyo ni kwa mujibu ws sheria namba 84 inayoongoza shule za misingi nchini.
La ajabu walimu bado wanadharau na kupuuzia maelekezo ya viongozi wakuu level ya waziri wa...
Kanisa KKKT lina vyuo vikuu kadhaa hapa nchini, hili kanisa limejengwa ktk msingi wa ubinafsi uliopitiliza. Walianza na Tumaini University iliyokuwa Iringa, sasa hivi wameiita Iringa University, huwezi kuta neno Tumaini kwasababu askofu wa Iringa anaona km taasisi yake na ya wahehe.
Tumaini...
Samia ni Rais mstaarabu, ana uwezo ila uswahili unamgharimu. Mawaziri km Abdallah Ulega, Makame Mbarawa kinachowabeba ni uislam na uzanzibari, Makame ni aibu kumwita waziri tena wa Uchukuzi. Ulega hakuna kitu pale, tena siku hizi ameanza arrogance, hii serikali inayokuja sijui itakuwaje. Ulega...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.