Naishauri serikari sasa ijikite kuwekeza vijijini ambako kilimo kinaweza kuwa msaada wa uchumi wetu kuliko kuwekeza zaidi dar es salaam mfano kama ujenzi wa flyovers, mwendokasi nk. ambavyo havina michango mikubwa ya uchumi.
Nashauli serikali ihakikishe kila kijiji kunakuwa na mradi wa uhakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.