Recent content by sangaedo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Company ya Samsung smartphone

    Asanteni wadau nimejifunza kitu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Company ya Samsung smartphone

    Habari zenu wote wanajf naomba nieleweshwe juu ya company hii Simu zake asilimia kubwa vioo vyake (screen) mbona hupasuka sana ni rafiki zangu wengi wanazo na screen zao wote zimepasuka aidha kipande kidogo au michirizi na tofauti na company zingine sasa cjui matunzo ni hafifu au company...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania haitopata rais kama Kikwete

    Jk ni janga la Taifa nchi hii kasambaratisha rasilimali zetu na kuchakachua katiba
  4. S

    JamiiForums Tanzania Madaktari, Hivi hamjui kuandika vizuri au mnafanya makusudi?

    Waaache micharango yao inaboa sana
  5. S

    JamiiForums Tanzania O-Ten (Philipo Nyandindi), yuko wapi siku hizi?

    Msiusahau bonge nyimbo kali unaitwa Mkuu wa mkoa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Pikipiki aina lifan inauzwa chee

    Risiti unalo Mkuu !!?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Huyu George Maratu wa ITV style yake ya utangazaji ikoje?

    Namkubali saaaana huyu George Maratu ni mbunifu sana kusudi uweze kutoka fanya tofauti na wenzako huoni mpaka sasa mnamdiscuss yule jembe
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi Zanzibar

    Wamesahau
  9. S

    JamiiForums Tanzania Anaejua aina hii ya simu

    Nashukuru kwani ni simu sio cm@ Chachu Ombara
  10. S

    JamiiForums Tanzania Anaejua aina hii ya simu

    Samahani wadau kwa wale wazoefu wa cm naombeni ushauri vp kuhusu aina hii ya simu yaani LG smartphone kuanzia ubora,upatikanaji wa spear na mengineyo
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya Toyota Noah na Toyota Voxy

    Toyota Noah ndo mpango mzima hususani road tour imetulia iwapo barabarani na huuzika kirahisi
  12. S

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nissan march inauzwa mil 4.2

    Unagonga mno bei
  13. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Boxer BM 150

    Huna nia na boxer laki 5 nunua tu smart phone
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nanunua King'amuzi cha Azam

    Hio ni bei ya jogoo
  15. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta channel dish kubwa

    Ambae anadishi kubwa pekee au pamoja na vifaa vyake yaani receiver ,remote pamoja na (puk) awasiliane what's up 0752048709 nipo makambako njombe
Back
Top Bottom