Wakuu I hope mko poa.
Kwanza napenda kutoa pongezi za dhati kwa mh.Dr Slaa kwa kuyagundua majizi ya Ccm na kuyaita mafisadi.
Hebu turudishe mawazo yetu nyuma kwa ile list of shame ya Dr Slaa alipoyaanika majizi pale kwenye viwanja vya mwembe yanga (tena tuchunge mafisadi wasije kuviuza kwa...
Chana cha magamba
Chama cha malori
Chama cha mapingamizi
Cha cha wezi
Chama cha mijizi
Chama cha wezi wa kura
Chama cha mashetani
Chama cha majangili ya tembo wetu
Chama cha ma entrahamwe yakiongozwa ba mwigulu mchemba
Chama cha mafisadi
Mleta uzi inaonekaba sindano ya chadema imekuchoma vizuri. Hebu tulia dawa ikuingie vizuri acha kuweweseka utakufa kifo cha mende magamba misukule mkubwa wewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.