acha uongo ukisema vijiji vyote vina fanana unadanganya naukisema umevitembelea kalibu vyote unadanganya kaka nchi hii ina vijiji vingi sana hata robo huja tembelea kuna wilaya kwenye hii nchi inavijiji 120 mpaka 150 hizi ni wilaya halafu we useme umetembea mikoa yote vijiji karibia vina fanana...
hao wakipelekewa chunvi na kofia kanga watamchagua tu kwa picha hizo hao ni wana ccm damu huwezi wageuza ata ufanye nn achana nao fuata kilicho kupeleka utapoteza muda wako kuongea na ho mazombi
aache kukurupuka ninavyo mfahamu uncle sio yule wa kipindi alikuwa waziri ,aliyekuwa waziri alikuwa bora sana wa sasa ambae nni mkuu wa nchi hapana anafanya mambo tofuati sana na ameprove felly ,ushauri wangu akae chini asiklize wataalamu wake na maraisi wasitaafu atasonga mbele lakini...
mbona uzi huu umeegemea katika kumuchambua dereva wa lissu na kumpa shutuma kana kwamba kafanya hili tukio ukisikiliza clip ya lissu mwenyewe wakati anahojiwa na bbc hakuna sehemu inayo mtaja dereva lakini inasema pale anapoishi lissu kuna cctv mlangoni kwa kalemani waziri wa nishart ambae...
huyu muleta uzi amechangnya taarif kwa kifupi tu aliyeuza nyumba za seriksli nia aliyekuwa waziria wa wizara ya nyumba na makazi kipindi hicho mh. jonh jseph pombe magufuli na sasa ni rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania sote watz tuna jua na si sumayi tafuta kingine cha kumuchafua sumayi...
Mumesharuhusiwa sasa na komredi Mbowe anzeni sasa kuchunguza hamna cha kuchunguza nilimusikiliza kwa makini kigwangala akimtuhumu nyalandu kuwa ni fisadi lakini mwisho wa mchango wake akasema hakusaini mkataba sasa nikajiuliza mtu msomi kama kigwangala anatuletea ujinga kama huu nakutufanya sisi...
kazi ya mbunge ni kuikosoa ,kuishauri na kuisimamia serikali iweze kuleta maendeleo mnyika amekuwa akiltimiza hayo siku zote kama hamutaki tuleteeni sisi huku simiyu tuwape maccm maana huku tangu uhuru yapo lakini hakuna yaliyo fanya angarau mnyika yameonekana anayopigania huku tunakunywa maji...
hata nimeshindwa kuelewa lengo lao ni nini sasa ancle anatakiwa aliangalie hili wakijihuzulu hakuna kurudia uchaguzi maana hata hela zilizo kuwa ziende kwanye maendeleo sasa zitaishia kwenye uchaguzi jinga sana watasababisha tutukane matusi makubwa makubwa tuende jela.
jiangalie kwanza wewe maisha yako ndio uwaeleze wenzio hunijui maisha yangu yakoje unakulupuka tu kuongelea maisha yangu kwa taarifa yako hata zuie mwaka mzima kufanya kazi huyo baba ako sita lala njaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.