Recent content by sandra B

  1. sandra B

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Hongereni bandari ya Dar
  2. sandra B

    Revealing: TANESCO inaidai IPTL Tshs Bilioni 321...

    ZITTO ndio mdudu gani huyo? Kwahiyo wewe unataka huyo Zitto wako ndie awe msemaji wa mwisho kwangu hayo si mawazo yake kwa maslahi yake. ""Katika hali ya sasa ambapo mambo mengi yako hadharani waheshimiwa wabunge wawili ambao wamejitokeza waziwazi kutaka kuwakamata wezi na wala rushwa, hasa kwa...
  3. sandra B

    Rais Kikwete kurudi kulihutubia Bunge kuagiza walioiba Escrow warudishe

    Bila shaka walioteta wapo mirembe, huwezi sikia tetesi za hivi kwa wazima wa akili.
  4. sandra B

    Revealing: TANESCO inaidai IPTL Tshs Bilioni 321...

    Ukweli utabaki kuwa fedha za escrow ni mali ya IPTL, hivi vikaratasi vyenu mtajua wenyewe mmevitoa wapi. Mgogoro wa capacity charge uliamualiwa tangu mwaka 2001 kwa capacity charge kushushwa toka $ 4.2 mil mpaka $ 2.6 mil na IPTL walikubali. Kama wao TANESCO walikuwa vichaa kwa kulipa zaidi...
  5. sandra B

    Suala la ESCROW Tupunguze Too Much Sensationalism na ku Dramatize, BOT Did The Right Thing!

    Haitokuja kutokea hata sikumoja fedha za escrow kuwa umma. Subirini ripoti muone.
  6. sandra B

    Suala la ESCROW Tupunguze Too Much Sensationalism na ku Dramatize, BOT Did The Right Thing!

    Inasomeka sehemu ya taarifa ya The Citizeni la leo tarehe 17/11 Mr Sethi and his son own 50 per cent of PAP, while the rest is owned by a company called Simba Trust that is said to be incorporated in Australia, according to investigations conducted by The Citizen. What brings the transaction...
  7. sandra B

    Ripoti ya IPTL haina madhara kwa wahusika, hakuna wa kuwajibika

  8. sandra B

    IPTL kushusha bei ya umeme kutoka sh 450 hadi sh 80 kwa Uniti

  9. sandra B

    Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

    Inasomeka sehemu ya taarifa ya The Citizeni la leo tarehe 17/11 Mr Sethi and his son own 50 per cent of PAP, while the rest is owned by a company called Simba Trust that is said to be incorporated in Australia, according to investigations conducted by The Citizen. What brings the transaction...
  10. sandra B

    Kafulila awalipua mawaziri akaunti ya Escrow

    Mgogoro wa IPTL kuwatoa kafara mawaziriNa Mwandishi Wetu MGOGORO wa kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), umepangwa kuwatoa kafara baadhi ya viongozi waandamizi wa kisiasa kutoka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mamlaka nyingine za utawala ndani ya serikali...
  11. sandra B

    Ripoti ya IPTL haina madhara kwa wahusika, hakuna wa kuwajibika

    Umeshaiona ripoti lakini?? Haya maneno ukija kuyanena tarehe 26 itakuwa vizuri sana. Tusubiri tuone, nshaanza kusikia kelele za uchakachuaji lakini, wasiwasi wangu ni kuwa mtakataa matokeo ya ripoti.
  12. sandra B

    Hoseah submits escrow account probe dossier

    Hamuwezi kutukatisha tamaa, mnaleta hoja na mikakati yenu ya kuchafua watu na kupandikiza chuki kwa watu na serikali yao, mnabahati mpo Tanzania humu, mnamtukana Mh. rais hamchukuliwi hatua vikaragosi nyinyi. Hii nchi imesonga mbele mara 1000, hutaki acha au kaandamandane. Mnapayuka tu hovyo 24...
  13. sandra B

    Suala la IPTL kuondoka na Mawaziri, makundi ya urais kusukuma lijadiliwe haraka

    Hawa watu hawawezi kukuelewa wamekula mshiko kuchafua hali ya hewa na kupushi ajenda yao ya kuwatoa kisiasa, maana kila kitu kipo wazi hizi fedha ni za IPTL toka mwanzo mpaka leo hakuna kitakacho badirika. Ukitaka kujua hilo wewe angalia wanavyobadili madai yao kila kukicha, hawana hoja...
  14. sandra B

    Hatari: Kura ya maoni itasimamiwa na tume isiyo huru!

    Hakuna mwaka ambao mlishinda au kukaribia ushindi nyinyi wasaka tonge, msijifariji!!! acheni kututisha kwa machafuko watoto wajaa laana nyie!!! Hakuna mtanzania atakae anzisha machafuko kwa maslahi ya MBOWE au UPAWA.
  15. sandra B

    IPTL kushusha bei ya umeme kutoka sh 450 hadi sh 80 kwa Uniti

    IPTL ni chama kipya cha siasa kumbe asante mkuu nilikuwa sijui! mkuu Tegeta escrow account ndio kitu gani naomba mawazo yako mkuu. Richmond nawaelewa sindio ile kampuni hewa ambayo hata mmliki wake alikuwa hafahamiki, lakini walikuwa wakichota mihela na baadae wale wenzao kina Dowans wakashinda...
Back
Top Bottom