Habari Waungwana Na Wale Buku7 Wa Lumumba, Leo Nipo Tandahimba Kuifuta Ccm. Kuanzia Saa 8 Mchana Nitawaletea Updates. Rafiki Yangu Kundambanda Yupo Mchinga, Bobani Hamidu Yupo Lindi Vijijin Na Kassi Bingwe Anguruma Masasi Wakati Nakanyomwa Anaimaliza Ccm Nachingwea.
Halali Mtu Hapa...
Ni Miaka Kumi Sasa Tokea Nitambue Kwamba Tanzania Imegeuzwa Shamba La Bibi Ndipo Nikadhamilia Kuipigani, Katika Vita Hii Ni Miaka 10 Sasa, Nimejifunza Na Kuelewa Aina Ya Silaha Za Adui, Nimemtafiti Vya Kutosha Na Sasa Matunda Ya Juhudi Zangu Yameanza Kuonekana. Vijana Wamejiandikisha Kuingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.