Recent content by sanawary

  1. S

    JamiiForums Tanzania Taslima: Ninatosha uenyekiti CUF

    Hakuna viongozi wengine tukaona tafauti ya utendaji au anahisi yeye ndie sahihi hakuna wengine haya mchezo wa kihindi uanzee
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya CUF dhidi ya suluhu ya Zanzibar

    Hujakosea ila muhusika sijui kama anauwezo wa kufahamu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Afunguka: Kilichotokea Zanzibar ni Mipango Iliyopangwa na CCM

    Sasa ni wakati wa kukamilisha juhudi na mipango ya miaka 5 inayokuja fyoko fyoko hazina nafasi tena.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msokotano mpya wazuka Zanzibar

    sahihi mana wao hawana maisha baada ya kila mda ni ushindani wa kisiasaa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msokotano mpya wazuka Zanzibar

    mjitizame nyinyi sio wakamilifu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif hakushinda Uchaguzi wa Oktoba na analijua hilo

    Ukweli unaumaaa tuuu.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Msokotano mpya wazuka Zanzibar

    udini na ukamilifu kwenye maisha manao nyinyi tuu ndio wasemaji na waonaji kwenye maisha ya siasa ya nchii hii? mshayasema mangapi na kulaani mangapi yamefanikiwa na yaloendelea! kazi mlobaki kuendekea na fitina za kisiasa na kujifanya nyinyi ni wakamilifu hivi huo wema wenu na ubora wenu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania TAMKO: CUF yatangaza kutoyatambua matokeo na hakimtambui Dkt. Shein

    Hakuna mkamilifu, kila mtu na hitilafu yake ukigoma unadhani utatambuliwa na ukitambuliwa unazani utahusishwa, kilobaki ni kuendelea na fitna dunia nzima na kuzuia kila lenye kheir na znz hayo ndio maisha yalozoeleka kujichanganya hutaki unaanza na hawa makafiri, wanafiki, wizii, hawana...
Back
Top Bottom