Recent content by sananemajenga

  1. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli Ananadi Barabara Za Ghorofa Dar Huko Manyara Wanakufa Kwa Njaa!

    mwambie fisadi papa apeleke chakula.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ukomavu mkubwa wa kisiasa CHADEMA

    Hiyo kweli mtu wng.kwani hata FISADI PAPA alipoomba kujiunga chadema wakampokea.licha ya kuwa walishawahi kumchafua nchi nzima.na wamempa nafasi ya kugombea urais pamoja na ufisadi wake.hakika chadema tumekomaa kisiasa.
  3. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA tishio: Wazuiwa kuzindua kampeni Uwanja wa Taifa

    Poleni wana UKAWA wenzangu.Nasikia mgombea wetu ( Lowassa )hoi kitandani.kwa kweli taifa letu halijawahi kuwa na rais mwenye afya mbovu km Lowassa.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sumaye Hata Wewe? Tunza Heshima Yako Jiepushe

    acha ushamba nani kakwambia sumaye ana heshima.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kinachomsukuma Lowassa kuupata Urais kwa udi na uvumba: kulinda ill gotten gains!

    lowassa nzuri.ila company yke ni mafisadi wote.ndicho kitakachimwangusha.kingine.hana uchungu na watanzania ila ana uchu wa madaraka na kulipa visasi kw waliokata jina lake.kwa maana hiyo hafaida asilani abadani.
Back
Top Bottom