Jamani Raisi wetu mtarajiwa Lowasa anarudisha lini form Nec?si walisema tarehe 21/08/2015

Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
2,325
719
Wa kuu naomba mnijuze kama raisi wetu anarudisha lini form?Tuna taka tumsindikize hata kama polisi wame kataa.Lazima tumsindikize raisi wetu
 
Wa kuu naomba mnijuze kama raisi wetu anarudisha lini form?Tuna taka tumsindikize hata kama polisi wame kataa.Lazima tumsindikize raisi wetu

Majanga.Policcm hawakawii kupiga mabomu na kukamata viongozi wakisema watu wameandamana mie najiuliza watu mathalani mia moja wanaondokaje kwenye mkutano wa kisiasa bila kuongozana pamoja au wanasubiri mmoja atoke au kumi kumi manake watakuja kusema watu wameandamana kumbe watu wametoka mkutanoni.
 
Wanasema kadondoka bafuni? Huna taarifa??
Nimesikia...... Wanasema Nape alipopiga bao la mkono hakumwaga maji. Sasa Lowasa alipoingia akalikanyaga akateleza.....pwaaaahh!!. Ila hajaumia sana.
 
Back
Top Bottom