Recent content by sanachanya

  1. S

    JamiiForums Vyama vya Wafanyakazi Tanzania vimekuwa butu

    ubovu wa vyama vya wafanyakazi na kutojua nini wanaakiwa wafanye inabidi watu wafuate sheria na utu kazini sio udhalilishaji vyama vingekuwa imara hakika haya makampuni yasingedhalilisha watu kabisa.
  2. S

    JamiiForums Vyama vya Wafanyakazi Tanzania vimekuwa butu

    Vyama vya wafanyakazi Tanzania vimelegea sana labda hawajui ni kitugani kinaendelea kwenye haya makampuni dhidi ya wafanyakazi ni unyanyasaji mkubwa. Vyama vya wafanyakazi hata havijulikani na wanachama ambao kimsingi ni wafanyakazi hawavijui, je nani awatetee hawa wafanyakazi...
  3. S

    JamiiForums Waziri wa Sheria na Katiba, Prof. Kabudi akana kauli yake

    Ni hatari kuwa na watu wa namna hii.
  4. S

    JamiiForums UDART imeshindwa kutoa huduma bora

    Naamini kwa uhitaji mkubwa wa hii huduma tender ikitangazwa kwa bei hiihii atapatikana mtoa huduma bora.
  5. S

    JamiiForums UDART imeshindwa kutoa huduma bora

    Wapo wenye mitaji wapewe nafasi kama tatizo lao kubwa ni mtaji. Na nia ya ushindani ni mtumiaji huduma afaidike
  6. S

    JamiiForums UDART imeshindwa kutoa huduma bora

    Tukiendelea kusikiliza excuse za ajabu performance haitakuwepo kabisa
  7. S

    JamiiForums UDART imeshindwa kutoa huduma bora

    Kuna tatizo kubwa katika utoaji huduma kwa mabasi ya mwendokasi, ni dhahiri kwamba wahitaji wa huduma ni wengi na watoaji wa huduma wamezidiwa labda kwasababu ya monopoly power ya route wanayoenjoy na hivi hakuna competition wanafanya wanavyojitakia bila kuwa na ubunifu na kumbuka hii ni pre...
  8. S

    JamiiForums Zitto Kabwe: Takwimu za Pato la Taifa kwa robo iliyoishia Juni 2017 si sahihi, ZIMEPIKWA! (PDF attached)

    Cha kujiuliza ni kwanini BOT imekalia taarifa muhimu muda wote huo, hata monthly economic review zimechelewa kutoka kwanini?
  9. S

    JamiiForums Jerry Muro: Zitto Kabwe ana tatizo zito kichwani

    Hoja hupingwa kwa hoja chambua takwimu kama alivyofanya mwenzako
Back
Top Bottom