Utawala bora unajengwa kwa kuwa na katiba imara na madhubuti, inayoendana na wakati. Katiba yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, ni miongoni mwa katiba kongwe ambayo pasi na shaka yako mambo kadha wa kadha yanayohitaji mabadiliko ya haraka sana. Hili linajidhihirisha kupitia mapendekezo...
Ndio maana kwenye andiki langu nimesema ni nyema neno ajira litafsiliwe katika upana wake ili kuleta uelewa kwa watu kuwa ajira sio razima uajiliwe na serikali ama taasisi fulani bali ni kubadili changamoto kuwa fursa ya ajira
UKOSEFU WA AJIRA UNAVYOTOA FURSA KWA WAPIGAJI (MATAPELI)
Kila mwaka vijana maelfu kwa maelfu wanahitimu vyuo vya kati pamaoja na vile vya elimu ya juu. Kundi hili ni wale wahitimu wa fani mbalimbali kama vile mafundi, walimu, madaktari, wahasibu, mahakimu, nakadharika. Wahitimu hawa, wanahitimu...
Wamewauwa wengi, inakuwaje haya yaje baada ya form six kufanya mitihani?.
au ndo kuwabana wanafunzi wapitikane wachache kwa kuwa mfuko wa roan ni mdogo?
why amendmend daily?
Nimemaliza chuo mwaka huu na nimeshapata kazi tayari.
Naomba dada mwenye umri wa chini ya miaka 25 aliyetayari kuolewa na anajijuwa ni mzuri awasiliane nami kupitia chandesamwely@gmail.com
Suala la kusema yanatoka lini usidanganywe ndugu yangu hakuna anaejua hiyo ni siri ya necta wenyewe na huwa haivuji hata kidogo. ila itakumbukwa kuwa hapo mwanzo yalikuwa yakitoka mwishini mwenzi wa1 au mwanzoni mwa mwezi wa pili kwa kuwa mtihani ulikuwa ukifanyika mwezi wa 10. Lakini ulisogezwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.