Recent content by samweli2014

  1. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Mbona unajifanya unajua kila kitu, kwani Mimi naonyesha uandishi au natafuta Kazi kama kitu hakikuusu sio lazima uandike pumba zako
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Nilikua na Kazi mkuu mkataba unaisha tarehe 30/06/2017.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Mimi nikijana wa kiume, Nina degree ya Adult Education and Community Development. Ninaombeni msahada kwa yoyote mwenye nafasi ya Kazi inayo endena na fani hii. Natanguliza shukrani.
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mwema popote ulipo.

    Natafuta mwanamke wa kufunga nae pingu za maisha karibuni sana.
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for Future Hubby

    Wewe u atafuta mume au sugar dady!! Miaka 35 - 40!! Unayako sio bure
Back
Top Bottom