Recent content by Samweli daniel

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa hapa alielewa somo au ...?

    Acha kufananisha Baba wa taifa na vitu vya ajabu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa hapa alielewa somo au ...?

    Walitabili kitu hapo, na mkuu bila shaka wimbo ulimuingia hadi kufikia kuindia kuimba! Ila sijui alijifunza kitu au ni jeuri.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa hapa alielewa somo au ...?

    Hao wanakwaya naimani walikua na maana yao, ila kama hakuwaelewa arudie kuiangalia na kuisikiza taratibu! Naimani ataelewa kitu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania New Zimbabwe: Tanzania police kill University student

    Wakulaumiwa hapo ni nani baba au watt?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Muhimu Sana: Polisi wakikosea kidogo, isitufanye tukasahau mazuri na mema yote wanayoyatenda

    Shida ni moja (1) wengi wao hawatumiagi akili, Mara zote akili zao wameshikiwa.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CHADEMA na UKAWA

    Hakuna sababu ya kupotezeana muda wakati wa chaguzi zozote zile! Ikiwa hali inaendelea hivi, ni bora ubaki mfumo wa chama kimoja.
  7. S

    JamiiForums Tanzania SERIKALI: Tumepata pigo kifo cha Mwanafunzi NIT, tutagharamia msiba na mazishi

    Badala ya kuishauli selkari na polisi yake liache kutumia nguvu nyingi kwa vitu visivyo vya razima! Mnashauli wananchi waache kuandamana, kwani maandamano hayo yalikua na athali gani. Muionye na tume ya uchaguzi ambayo ndo chanzo chamyote hayo.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    Tatizo ulimbukeni wa maisha! Kama mwanamke inakupasa kua na kifua cha kutunza baahdi ya mambo sio kila kitu uijuze kadamnasi ambayo haitokusaidia zaidi ya kukudharau. Sent from my SM-T715Y using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom