Recent content by Samwel90

  1. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha uhasibu Arusha kinawalazimisha waombaji wajiunge chuoni hapo,hakuna option ya kuahirisha maombi,na wanachagua kozi ambazo hawajaomba

    Mkuu Umesoma nilichoandika lakini,au unacoment tu !?,nimesema niliwapigia simu wakaniambia nikonfem kwanza kujiunga chuoni hapo baada ya hapo Kuna option ya kuahirisha maombi itatokea,kitu ambacho si kweli
  2. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha uhasibu Arusha kinawalazimisha waombaji wajiunge chuoni hapo,hakuna option ya kuahirisha maombi,na wanachagua kozi ambazo hawajaomba

    Ndiyo vigezo nilikuwa navyo,lakini pia hata sikuwa na vigezo wangeniacha sio kunichagua na huku Sina pa kuahirisha maombi yangu Mîimi niliomba information technology,cha kushangaza napewa business administration
  3. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha uhasibu Arusha kinawalazimisha waombaji wajiunge chuoni hapo,hakuna option ya kuahirisha maombi,na wanachagua kozi ambazo hawajaomba

    Ndiyo lakini vyuo vyote nimechaguliwa kozi nisiyotaka,sasa nikabibi nikancel maombi, udsm wao wamekubali kunitoa,pamoja na udom ambako kote niluchaguliwa kozi ya elimu kwa udsm na udom, Sasa hawa hawana option ya kucancell ombi,nilipowapigia wakaniambia nikonfem kwanza baadae itakuja option ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha uhasibu Arusha kinawalazimisha waombaji wajiunge chuoni hapo,hakuna option ya kuahirisha maombi,na wanachagua kozi ambazo hawajaomba

    Kero Kuhusu Utaratibu wa Uchaguzi wa Kozi na Uthibitishaji wa Maombi katika Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Chuo hiki hakizingatia Maombi ya Kozi Halisi kinawachagua wanafunzi katika kozi ambazo hawajaomba rasmi,mfano Mimi niliomba Kozi ya information technology Tena maombi matatu,wao...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Je, wewe unajua vizazi vingapi kutoka kwa babu yako? Na ukoo wako umehifadhi vipi historia yake?

    Ngoja nishike nafasi,nikitulia nitakuja kueleza kwa kina
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuna degree za online accredited Marekani ni bure kabisa usikae kizembe

    Mkuu Wewe msomi tuambie juu ya distance learning
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya ubuyu

    Mimi nimependa wewe
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya ubuyu

    Nje ya mada,umeolewa mdogo wangu,sema chap nilete posa
  9. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kero: utitiri wa mitihani Kwa shule za sekondari wilaya ya Busega -Simiyu unarudisha nyumba dhana ya ufundishaji na ujifunzaji,mamlaka zilitazame hili

    Mkuu kama ingekuwa hivyo basi kungekuwa hakuna maana ya kuwepo Kwa utawaka wa Sheria,mtu angekosea na watu wangeji-oganize kumuadhibu, mamlaka maana yake uwezo wa kutenda as longer as tunaishi Kwa utawala wa sheria
Back
Top Bottom