Recent content by samwel okeshu

  1. S

    JamiiForums Mbasha: Gwajima ana roho mbaya sana na roho ya uharibifu, hafai

    Wajinga hawaishi kumbe mbasha nawe kumbe ni poyoyo ?Acha kutulisha ubuyu huo ubuyu mkalishane na Aliye kutuma.kwa nini hili jambo haukulitoa mapema?
  2. S

    JamiiForums Ushauri juu ya kupima VVU

    Usiogope kabisa kuhusu watu wee Jali Afya yako ya walimwengu wachie walimwengu.Nenda kapime.
  3. S

    JamiiForums Tunataka viongozi makini kama Makonda, hatutaki vyeti sisi

    Kiongozi wa kuigwa kwa kp alicho kifanya maana amefanya mengi ?
  4. S

    JamiiForums Tunataka viongozi makini kama Makonda, hatutaki vyeti sisi

    Aweke Hasarani kama zitto kabwe alivo kata mzizi wa fitina.nawe unayesema hautaki vyeti una mtaka makanda Jitadhimini si dhani kama upo sahihi.utakuwa kwenye kundi la ni dhamu ya woga.
  5. S

    JamiiForums Rais Magufuli ameona anguko lake 2020, sasa anataka kujisafisha kwa kina Kikwete

    Amefanya jitihada nyingi ikiwepo miundo mbinu barabara sahanati shule za misingi na za kata.Amefanya mengi mazuri ila kwa Upofu wetu na ushabiki usio kuwa na ushindani wa nguvu za Hoja ndio maana leo mtu anaujasiri wa kuuliza kikwete Amefanyani Shule uliyo soma wee umejenga mwenyewe ?
  6. S

    JamiiForums Rais Magufuli ameona anguko lake 2020, sasa anataka kujisafisha kwa kina Kikwete

    Kama kwa kura yako moja itatosha basi utamrudisha mwenyewe.
  7. S

    JamiiForums Kuelekea 2020 upinzani hatuna namna, twendeni na Zitto Kabwe

    Ingekuwa moves Ningeipa Jina la msukosuko
Back
Top Bottom