Recent content by Samulai

  1. S

    JamiiForums Tanzania Viatu vizuri vya mtumba kwa wanaume

    Hiki nacho bado kipo weka namba.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Viatu vizuri vya mtumba kwa wanaume

    Hiki kiatu vipi bado kipo ni weka namba nikupgie nije nikione.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Hawataki mkuu kunijibu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Madereva mlioudhuria usaili mchujo jumamosi tar 1, naomba kujua ulikua ni mchujo gani.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Nimesoma PSV nimesoma kuendesha basi la zaidi ya abiria 60 ila sijaweka bado C kavu kwa sasa nina leseni tu kama yako mkuu.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Kwa hizo sifa kama hawajakuita basi kutakua na tatizo katika profile yako au uandishi wa barua.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Call for Interview-Tanzania Airports Authority(TAA) 30-May-2019

    Ahsante mkuu kwa ushauri wa kijasiri na maendeleo.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    inasoma 84, kwani wewe unaleseni gani na cheti gani cha udereva.?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Wote TPA na TAA wameniita
  10. S

    JamiiForums Tanzania Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Shukurani mkuu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Nina C1 mkuu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Call for Interview-Tanzania Airports Authority(TAA) 30-May-2019

    Mkuu kazi serikalini nataka sana shida nimewahi kufanya interview moja nilijitahidi sana practical lakini sikuitwa oral, na kipindi hicho tuliitwa watu 27 kwenye post 8, sasa kila nikijifikiria hapo navunjika moyo kutumia nauli kubwa kuja dar na najua uwezekano wa kupita ni mgumu hata...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Madereva naomba mrejesho ulifanyika usaili gani.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Madereva mtakaoudhuria usaili leo naomba tujulishane kimeendelea nini maana wameniita ila nimeshindwa kuja.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kiatu kikali cha Clarks kutoka Uingereza

    Wapi nitapata kiatu chenye muonekano kama hiki, hasa kiwe mtumba au used ila kiwe ngozi kwa bei ya kawaida kama 40k.
Back
Top Bottom