Bt Samuel jk_Euphoria
SOLO KING: ANCIENT LEGACY
CHAPTER 42: My lord
Jimmy kwa maneno alikuwa ni mtu mwingine kabisa, alikuwa anajua sana kuchambua maneno na wa wapi pa kupigilia msumari na hiyo ni moja kati ya Sifa alizonazo yaani 'talkative'
Japokuwa aliongea kama mzee mwenye busara na...
BY Samuel jk_Euphoria
SOLO KING: DARK MAJESTY
CHAPTER 35: One versus thousands
Jimmy alianza kutembea kuzunguka kijiji hiko maeneo mbalimbali pengine kutakuwa na raia waliojificha wakisubiri msaada.
Baada ya kuzunguka huku na huko katika kijiji hicho aliweza kufika sehemu yenye uwanja...
BY Samuel jk_Euphoria
SEASON 2
SOLO KING: DARK MAJESTY
CHAPTER 31: Revenge
MIAKA MITATU NYUMA, JAPAN
Kuna mkusaanyiko wa visiwa 14,125 ambavyo huunda nchi ya japan, lakini vilevile kuna visiwa vitano vikuu ambavyo ambavyo huitambulisha nchi hiyo kimataifa, Tukiachana na hivyo visiwa...
SOLO KING: ANCIENT LEGACY
CHAPTER 30: Ugeni uliotarajiwa (expected visit)
Jimmy hisia zake zilikuwa ni sahihi kwani ndani ya sekunde kadhaa ulisikika mlio wa kengele ya mlango wa kuingia sebuleni kuashiria kwamba kuna ugeni muda huo
Aisha alinyanyuka na kwenda kufungua mlango na kuwaona...
SOLO KING: ANCIENT LEGACY
CHAPTER 29: Shadowbound
Nguvu ilikuwa ni kubwa sana kwa D'sullivan kuhimili kiasi kwamba alianza kupiga mayowe maana mkandamizo huo ulikuwa ukimuathiri mifupa na misuli yake iliyokaza kushindana na nguvu hiyo.
Licha ya kuugulia maumivu hakuonekana kukata tamaa na...
SOLO KING: ANCIENT LEGACY
CHAPTER 28: A man of many identities
Nyuma yake kulikuwa na mtu amesimama kwenye paa hiyo, alikuwa ni mzungu mwenye mwili kama wa Roman reigns mcheza mieleka wa Marekani, alikuwa amevaa nguo nzito na kujifunika mitambaa mzito kama vile mmaasai
Mtu huyo alikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.