Recent content by Samu mahela

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kazi na Bata ni kauli mbiu inayomnyima usingizi Dr Bashiru

    Sio moja tu sababu umewahi, weshatiwa kibindoni hawa na waendelee hivyohivyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kazi na Bata ni kauli mbiu inayomnyima usingizi Dr Bashiru

    Kama maana yenyewe ndo hiyo kutoka kwa viongozi wetu wataarajiwa baasi watanzania tuwe makini, kama wao wameridhia kuliwa na wakaliwa NA mabwana zao huko kutwa kucha wanaowaandikia kiingereza tweeter, wacha waendelee kuwa mabata, katu huku tusikubari maana sio mila wala desturi yetu, na pia ni...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa ahusishwa na Utapeli wa Nyumba Tegeta

    Sasa lowassa atawatuma wabomoe nyumba yeye kama nani huoni kama ni namna ya kumchafua kisiasa mm naona mtu ukitaka kuandika jambo kwenye media walau upime hata kama umeambiwa changanya na akili zako hilo hapana tafuteni lingine
Back
Top Bottom