Recent content by samsonneisha

  1. S

    Ubishi kati ya Scania, Vs Benz Vs Daf Vs Iveco stralis Vs Howo

    kaka naomba nichangie mada yako nipo nchini Ujerumani kwa sasa mwaka wa3 nasoma magari,tafadhari Benz mwisho tena akigiza kutoka kiwandani hapa ujerumani..ni mwisho wa mkkono yote hiyo uliyoitaja..ila sio mtumba. maana huku mpaka uitwe mtumba ni 25 miaka..jaribu utasema ndio..
  2. S

    TAKUKURU mnalijua hili?

    kaka pilipili kichaa imenigusa sana na kiukweli nimecheka sana..
  3. S

    CHADEMA,dhambi hii itawatafuna katika uhai wenu,mwanaisasa huyu amewakosea nini?

    ni kweli jamaa njaa inamsumbua,ccm mtafutieni kampenyo maana jamaa mzuri kwa kampeni huyu..
  4. S

    Utaratibu wa kuishi maisha ya jela...msaada tafadhali

    ila cha msingi jf sio eneo la matusi,inasomwa na watu wamaana jama..
  5. S

    Utaratibu wa kuishi maisha ya jela...msaada tafadhali

    sijawahi changia jf ila hii imegusa,,nahisi hiki ni kijiti cha Arusha kaka..
Back
Top Bottom