TAKUKURU mnalijua hili?

TAKUKURU mnalijua hili?

Ulipoweka dini ndio umeifanya habari ipunguze uzito!!!!!!!

Otherwise kazi ipo Tanganyika hii!!!

Sikuweka dini kwa bahati mbaya: fedha na dini ndizo zinazotumika kila moja kwa njia na walengwa wake
 
Sikuweka dini kwa bahati mbaya: fedha na dini ndizo zinazotumika kila moja kwa njia na walengwa wake

Inawezekana umeiweka makusudi ila lengo ulilokusudia ndio linaifanya hoja kuwa neutral maana wakristo na waislam wote wameshiriki kwa mujibu wa thread sasa hapo dini ina role gani???!!!

Hoja ya kitaifa ukiipa sura ya kisiasa au dini basi jua inakufa kifo cha kawaida
 
Ufisadi wa Loliondo ulianzishwa na Katibu Mkuu wa CCM. Soma makala za Marehemu Stan Katabalo katika gazeti la Mfanyakazi na utayakuta yote. Kama mwahitaji nakala kwa kumbukumbu zipo.
 
Back
Top Bottom