Hii inalipa watu wangu, jaribuni, lakini siku zingine hawa jamaa huwa ni wasanii, hii inaonekana ni kama njia ya kujitangaza tu jamani, maana naona hapa lugha ya kibiashara ndo imetumika zaidi, sijui, ila mimi siwezi jaribu maana najua watapewa watu wengine ambao wanawajua wao. hii noma sana...