habari wakuu.......naomba msaada nilikuwa najaribu kumfanyia application mtu UDSM nilipofika mwisho ikaleta hayo maelezo, inaonesha kama huyo mtu alishakuwa admitted.
hakuwahi fanya application TCU.
Na ana diploma anaenda degree.
msaada wakuu.
hajashiba sana ndio dahihi.....maana inakanusha tendo lililopo la Ameshiba sana.
ukisema hakushiba sana.....ni wakati ulishapita.......kwakuongezea tu ila mkuu hapo juu ameshakujibu.
Amani iwe juu yenu wakuu.....naomba msaada kwa mwenye kuelewa....vp kwa wale diploma holders ambao walishafanya application hawawezi ku edit kwa sasa....???maana TCU wamepunguza GPA na wameruhusu wasio apply waanze kuapply. au ndo inaruhusu wasio apply tu. Naomba msaada tafadhali.
Wakuu naombeni msaada wenu, nimemaliza kufanya selection kwa maana nimeshajaza vyuo 5 as maximum sasa nataka kujua kama ukimaliza kuna kuconfirm au kusubmit au ukimaliza unaacha vile vile.....????? msaada wenu wakuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.