wakuu nilikua natumia window 8...nikaletelewa taarifa kua naweza install new version window 8.1....bt baada ya ku install ,ku activate inatakiwa product key.....nazipataje hizo?
Wakuu naombeni msaada natumia dell d620, window 8. Kumekua na tatizo kila nikifungua pc nakutana na ujumbe huu kwenye desktop
Window created a temporary file on your computer because of a problem that occurred with your paging file configuration when you started your computer.the total paging...
hivi tupo hapa kufahamiana?.....hi ndo HOME OF GREAT THINKERS? kama unataka mfahamiane na watu wako peleka hii topic FACEBOOK kuna magroup kibao kule na la mwakaleli lipo muende mkafahamiane....
Kwani ye kujua ulitaka mpaka aende kufanya uchunguzi yeye au mpaka baba awe CIA...kama anafatiria mambo atajua 2 ndo maana kuna medias..websites etc na hizi mara nyingi hua ni siri zinazovuja na kwa kua watu wamesha pumbazwa na ufatiliaje wa vipindi vya kijinga na kuchat fb masaa 24 habar ka hz...
we jamaa uko sayari ya ngapi hivi unadhani kuna mtu anayejali matatizo yako mpaka atengeneze kifaa cha kubeba watu dunia nzima......inawezekana hata raisi wako hawezi fua dafu kwenye kifaa hicho kuna watu wanao ru dunia ww
kwa heding hii nilitegemea habari zinazo umiza vichwa kwa kipindi cha sasa na hapo hutasita kuzungumzia NIBIRU au PLANET X.....hii ni sayari ambayo ambayo ambayo iligungulika kuvamia katika mfumo wetu wa jua na huchukua miaka takribani 3000 kukamilisha mzunguko wake ni sayari inayo fanana na jua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.