Wewe umesema kuoa wake wawili hadi wanne ni kuhalalisha vimada maanayake unahramisha alivyo halalisha Mwenyezi Mungu. Ama una andiko ulalolifuata kuwa mke wa halali ni wakwanza tu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.