Recent content by samnas

  1. samnas

    Naomba kufahamu kuhusu CPA & CSP

    Sorry guys, how do i apply for CSP? Nina degree ya BA., i wanted to apply for CSP but sijui procedures. Ill be glad if you help me, thank you
  2. samnas

    Sio kosa langu #10

    Fikra za kuwatafuta wazazi wake ziliyeyuka kabisa na kujikuta akipenda kitendo ambacho anakifanya na bi zuwena. Miezi miwili tangu waanze kufanya tendo hilo na wamekua mithli ya mke na mume. Mzee Ochu kwa kipindi kirefu hakuonekana nyumbani hapo tangu asafiri na kuelekea Tanga kikazi. Baada ya...
  3. samnas

    Sio kosa langu #9

    Miezi mitatu sasa tangu Hashir aanze kazi kwa mzee ochu, mshahara wa hapo ulimfurahisha sana Hashir mpaka alijikuta akifungua genge kwa bibi yake huko magomeni. Maisha kwao yalianza kua mazuri baada ya Mungu kuwamulikia Nuru yake na kutambua shida waliokua nayo. Chakula hakikuwapa tabu tena...
  4. samnas

    Sio kosa langu #8

    ,''Kweli dokta umepima vizuri??'' aliuliza karima kwa mshangao, ''Ndio dada vipimo vyetu hua havisemi uongo kabisa!!'' Alimhakikishia nesi. Ilikua ni vigumu kwa karima kuamini kwa kile alichokisikia baada ya kupata vipimo vya mimba na kukutwa ana mimba ya wiki kadhaa. Alitumbua macho mithli ya...
  5. samnas

    Sio kosa langu #7

    Chidy aliamini baba yake anaemlea ni babayake mzazi, pia mama yake kadhalika, japo mzee muro alikua na wake watatu, aliweza kuwamudu wote na kuwakidhi mahitaji yao. Hakutaka kuifichua siri nzito iliyopo baina yake yeye, mkewe na chidy ambae kwa kipindi kirefu amekua akimdanganya kua yeye ni baba...
  6. samnas

    Sio kosalangu #6

    Hakuchoka kumuomba mungu msamaha na amjaalie aweze kupata mtoto, japo kwake ilikua ni ndoto ya alinacha. Ochu furaha yake aliokua nayo ilianza kufifia, hata wafanyabiashara wenzake hawakuelewa nini kilimsibu mwenzao, hata walipomuuliza hakuweza kuwajibu zaidi ya kuwaambia yupo kawaida. Hali hiyo...
  7. samnas

    Sio kosa langu #5

    Ochu akiwa na mkewe zuwena wameketi kwenye sofa kubwa baada ya kupata chakula cha mchana, mfanyakazi SADA alikusanya vyombo vilivyokua mezani na kwenda kuviosha, aliwaacha Ochu na zuwena wakiongelea kuhusu mambo ya kifamilia. ''Mke wangu....ni mwaka wa kumi na tatu sasa tangu tumkatae mtoto...
  8. samnas

    Sio kosa langu #4

    ''Enhee,kuna nini tena hapa?'' Aliuliza mkuu akiwa na mikunjo kwenye paji lake la uso ikidhihirisha hamu alokua nayo mwalimu huyo kujua nini kinaendelea. Hakupenda hata kidgo wanafunzi wake waonewe. Akiwa anatupia macho walipokaa wanafunzi Moyo ulimpiga ''PAA!!'' Alipomuona mwalimu mashaka...
  9. samnas

    Sio kosa langu #3

    Mkuu sicopy hii story, natunga, xo inachosha kuandika ndo mana naeka vipande mkuu,, ucjal ntaandka ndefu ndefu zaid
  10. samnas

    Sio kosa langu #3

    Hakujua amwambie nini mwalimu ili aweze kumruhusu aingie ndani na kujiunga na wenzake ili wasome. Mwalimu mashaka alijulikana shuleni hapo kwa ukali na tabia yake ya kuwaonea watoto wa kiume na kupendelea wa kike. Kiukweli alichukiwa na watu wengi shuleni hapo, alitamani sana mtoto wake...
  11. samnas

    Scholarship za Oman zimeishia wapi jamani

    Mm sjapata mkuu, nmeona mtu alipost the same issue akajibiwa kwamba kuna watu walienda wizarani wakapewa jibu hilo, waliopata div.1 form for na form6 ndio waliopta scholar
  12. samnas

    Sio kosa langu #2

    Hali ya nyumbani hapo ilikua ni ya kusikitisha sana,kimali mzee kauchume alikua maskni sana,ni mtu wa kabila la wafipa aliezaliwa huko mkoani rukwa wilaya ya sumbawanga, hakua mzuri sana wa kuongea kifipa maana miaka mingi alihamia daressalam tangu kufriki kwa wazazi wake, alilelewa na baba yake...
  13. samnas

    Sio kosa langu#1

    Mama yangu yuko wapi?? Baba yangu yuko wapi?? Ndugu zangu kina nani? Ni maswali niliyokua nikijiuliza kila siku bila kupata majibu,maisha ya tabu na shida niliyazoea nikiwa bado mbichi sana huku nikiwa namsaidia bibi yangu Bi.zai apate chochote cha kuingiza kinywani. Tumeweza kuishi kwa muda...
  14. samnas

    Funguka kitugani hutakuja kukisahau katika maisha yako

    Sitasahau asilimia 82.9% ya waliokosa mikopo 2015/16
Back
Top Bottom