Recent content by sammymasasi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Inategemeana na msimu mara nyingi huanza kwa bei ya chini kisha hupanda mwishoni hushuka kwa uzoefu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Afisa Utumishi Halmashauri Nzega anatafuna watumishi wake

    wamesema uwasemee waliotendewa kwa nini wasiende huko PCCB.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tido Mhando ameteuliwa kuwa kaimu-Mkurugenzi mtendaji, Uhai Production Ltd (Azam)

    unataka waifungie AZAM kurusha matangazo?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Hapana kwa kiasi kikubwa kama hicho sio rahisi kukuhakikishisia labda kwa maeneo ya kilwa na nachingwea kuna watu wanalima sana pamoja na liwale ksma una mtu huko anaweza kukusaidia.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Ninalo ambalo nilifanyia kazi mwaka jana ekari 15 zipo okey 15 nyingine zinahitaji kusafishwa tema ni shamba jipya na lina rutuba.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Fanya biashara ya mazao masasi mtwara unanunua kwa tsh 500 unauza kwa tsh 770 unatoa gharama za yshuru chama cha msingi 50/kg halnashauri 25/kg usafiri 40/kg onayobaki zidisha kwa mzigo utakaonunua ndio faida yako unaweza kukusanya tani 20 kwa wiki kama mzunguko umesimama vixuri je haujatoka hapo.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Suala la mbegu sio shida kama ambavyo mimi nilifikiri lakini ni shida kama hujui utapata wapi. Kama unahitaji mbegu za kampuni basi wasiliana na watu wa Naliendele Chuoni, Lakini kwa huku kusini wengi wanatumia mbegu hiyo ya lindi white kutokana na kuzaa sana na hasa wakulima wengi hubakiza...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Wadau wa zao la ufuta. Leo nimeona niendelee kutoa uzoefu kidogo niliopata katika hiki kilimo. mambo mengine ya kuzingatia ni pamoja na yafuatayo. 1. Andaa shamba lako mapema shamba zuri kwa kilimo cha ufuta ni shamba jipya kama unaweza pata ambalo halijawahi limwa hivyo unafyeka kisha unachoma...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Kwa wale wanaohitaji mbegu wanaweza wasiliana nami.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Kuhusu kujua mbegu gani ni nzuri kwa sasa suala la mbegu sio shida kabisa ika ikubidi uwahi kununua mimi nilinunua mwaka jana kwa tsh 5500/kg na nikanunua na dawa kwa ajili ya kutibu mbegu unachotakiwa kufanya ni kuwahi kununua mbegu mfano kwa sasa unaweza pata hata kwa tsh 3000/kg lakini huwa...
  11. S

  12. S

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Nilifanya kilimo eneo la wilaya ya masasi mtwara, now changamoto kubwa ua mwaka huu ni kutokanama na kwamba watu wengi sana walilima na hii ni kutokama na bei nzuri ya mwala jana. changamoto ni kuwepo kwa gharama nyingi za maandalizi mpaka siku ya mwisho ya kuuza unatumia pesa. Mfano unahitaji...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Sorry kwa thread yangu kukatika. kwa hiyo kwa maelezo hayo na mengine mengi sio kilimo kizuri sana lakini ni biashara nzuri sana na hio inatokana na kwamba inahitaki mtaji mkubwa ili kufanya kwa hiyo competition kwa watamyabiashara wadogo inakuwa ndogo mimi nilianza na mtaji wa 6m lakini ndani...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Nimependa comment za wadau wa jf juu ya kilimo cha ufuta ukweli ni kwamba ufuta ni biashara nzuri na sio kilimo kizuri sana. ninasema hivi sababu nimefanya kilimo hiki lakini katika kufanya analysis ya kukodi shamba(pori) kufyeka kuunguza nyasi kwa dawa kung'oa visiki
Back
Top Bottom