Recent content by sammosses

  1. sammosses

    Afya ya akili ya viongozi wetu ni muhimu kwa mustakabali wa uongozi wetu

    Ukanjanja mwingi sana kwenye nchi hii,bila Mamelodi business will be as usual
  2. sammosses

    Afya ya akili ya viongozi wetu ni muhimu kwa mustakabali wa uongozi wetu

    Afya ya akili ni muhimu sana kwa viongozi,nchi za wenzetu viongozi lazima wapimwe utimamu wasije liingiza Taifa kwenye majanga
  3. sammosses

    Afya ya akili ya viongozi wetu ni muhimu kwa mustakabali wa uongozi wetu

    Sakata la waziri wa michezo na serikali yake dhidi ya mashabiki wa mpira mbali na kutikisa mahusiano ya kidiplomasia yameiweka serikali njia panda kwa kuingilia Uhuru wa michezo hususani mpira wa miguu. Moja ya kauli mbiu kubwa ya kimichezo ni michezo huleta furaha,ujenga udugu na...
  4. sammosses

    Ni lini Tume za Uchunguzi zitakuja na suluhu ya matatizo yanayoikabili Tanzania yetu?

    Mtihani huu mwenye kusahihisha ni wananchi,hatari wenye nchi wanaogopa mamlaka yao waliyoyatumia kuiweka serikali,bila katiba Bora ya wananchi hata Jeshi la malaika likishuka litakuwa CCM
  5. sammosses

    Ni lini Tume za Uchunguzi zitakuja na suluhu ya matatizo yanayoikabili Tanzania yetu?

    Tena favor si kwa Taifa ni favor ya mteuzi
  6. sammosses

    Ni lini Tume za Uchunguzi zitakuja na suluhu ya matatizo yanayoikabili Tanzania yetu?

    Lyatonga Mrema alitenguliwa kwa kutoa Siri za Baraza la Mawaziri akiwa waziri wa mambo ya ndani na naibu waziri mkuu. Maanake alitoa hadharani Siri ya wizi unaofanywa na kubarikiwa na Baraza la Mawaziri. Mfumo huo bado unaendelea japo hakuna waziri mwenye gut kama aliyekuwa nayo Mrema,wote...
  7. sammosses

    Ni lini Tume za Uchunguzi zitakuja na suluhu ya matatizo yanayoikabili Tanzania yetu?

    Rais wa awamu tatu Benjamin William Mkapa alipoingia madarakani aliunda tume iliyoongozwa na Jaji Warioba, kuchunguza rushwa na udhibiti wake. Kila mmoja aliunga mkono dhamira ya dhati ya Ben. Kilichotokea baada ya taarifa za matokeo ya tume hiyo, alihojiwa kwanini amekwenda nje ya hadidu za...
  8. sammosses

    Kama mnamuona Rais Samia ameshindwa kusimamia Katiba na kulinda rasilimali zenu muwaombe Wabunge wamuondoe kwa Ibara ya 46A ya Katiba

    Shida ya wabunge wanawajibika kwa Mwenyekiti wao ambaye ndiye Rais,hawana nguvu ya ushawishi ndani ya chama ambayo Rais anayo. Wakimwaga ugali bungeni yeye anamwaga ugali ndani ya chama atakayeumia wabunge wasaka tonge that's all
  9. sammosses

    Madudu ya ajabu ya ubatili wa Katiba yetu, mabadiliko "fake" ya sheria na Tume ya Uchaguzi. Rais Samia asilaumiwe kwasababu yeye sio mwanasheria!

    Maanake ukubwa wa taasisi ya urais hauna tija hata kama Rais si mwanasheria,pili tumekuwa na Marais copy and paste ambao wanajua kusaini bila perusing kwa hiyo kama kuchomekewa ni sababu ya udhaifu wao tu. Anapofanga vikao na wadau mbalimbali inaonyesha haweki kumbukumbu ya kile alichokisemea...
  10. sammosses

    Kuna haja ya kufanya chaguzi za kisiasa nchini ikiwa haki za raia zinaporwa

    Wahenga walisema muda utaongea,mpk lini,lini tutaamka
  11. sammosses

    Kuna haja ya kufanya chaguzi za kisiasa nchini ikiwa haki za raia zinaporwa

    Taifa linapaswa kujiuliza kama chaguzi zetu ni sahihi kuwepo,Taifa letu ni sovereignty state au ni monarchy state. Hawezekani kila tunapoelekea uchaguzi mbalimbali za kisiasa Taifa linapotezewa uwezo wa kuhifadhi haki za binadamu hususani haki za kuishi na Uhuru wa mawazo. Ikiwa suala la...
  12. sammosses

    Vita vya kuviziana, mwenye uwezo wa kumvika paka kengele bado hajazaliwa

    Bado hatujafikia level ya mtindio wa ubongo ukitumwa maji unaleta sigara. Hoja yako Mr. Dudumizi inatofautiana na mada hapo juu
Back
Top Bottom