Recent content by Sammo Hung

  1. Sammo Hung

    JamiiForums Tanzania Mbali na kazi unayoifanya ni kazi gani nyingine unaipendelea zaidi lakini unajizuia kwa sababu zako binafsi?

    Bora ndoto zako hazijatimia, ungeua watu wewe
  2. Sammo Hung

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia za kiasili za kuongeza nguvu za kiume ni zipi?

    Nguvu za kiume zinaanzia kichwani, ndio nimesema kichwani,,,, utulivu wa akili huleta ufanisi mkubwa kwenye jambo lolote lile. Shughulika na hilo kwanza kisha utaona
  3. Sammo Hung

    JamiiForums Tanzania Nimepima HIV baada ya mwezi na wiki 2 lakini ni negative lakini siamini

    Mungu akujalie upate haja ya moyo wako.
  4. Sammo Hung

    JamiiForums Tanzania Wageni wanapewa dhamana ya kusimamia rasilimali zetu kwa sababu wazawa wamekuwa wakihujumu shughuli za Kiserikali

    Ni jambo jema ila tatizo hawaweki wazi mikataba wanayoingia na hao wageni, tusije kuwapa Waarabu au Wachina mkataba wa miaka 100 alafu tukajuta baadae
  5. Sammo Hung

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

    Unaelewa maana ya mshangazi
  6. Sammo Hung

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

    Pole sana Bado hujakutana na 30+ zenye Km chache wewe
  7. Sammo Hung

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Hawa wafanyakazi wenzangu, inaninyima raha

    Kuna wakati Mungu anakubariki ili na wengine wabarikiwe kupitia wewe, hakuna asiyependa kumiliki gari lake
  8. Sammo Hung

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Hawa wafanyakazi wenzangu, inaninyima raha

    Umasikini mbaya sana, tutafuteni pesa jamani naona dharau zimezidi sasa.
  9. Sammo Hung

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliniambia ana mtoto mmoja lakini baada ya kuwa naye kwenye mahusiano nimegundua ana watoto watano, nifanyeje?

    Yatamtokea puani basi, siku akiachwa na katoto alafu mdingi anatafuta chimbo jipya
  10. Sammo Hung

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliniambia ana mtoto mmoja lakini baada ya kuwa naye kwenye mahusiano nimegundua ana watoto watano, nifanyeje?

    1) Miaka 25 na hujazaa, wewe ni msichana na si mwanamke 2) Umri wako na wa huyo mdingi haviendani tafuta kijana mwenzako 3) Hata wenzako walidanganywa kama wewe, waka,alishwa na kukimbiwa. Ushauri: Fanya maamuzi haraka kabla mdingi hajapata goli la kuongoza
  11. Sammo Hung

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

    Bora awe 30+ ila asiwe single mother
  12. Sammo Hung

    JamiiForums Tanzania Nandy kidogo ampasue Harmonize Kizazi

    Aliyekwambia kizazi kipo hapo ni nani,,
Back
Top Bottom