Recent content by Samjela Jr

  1. Samjela Jr

    Muonekano mpya wa msanii Meja Kunta

    Ujuaji ukizd sana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Samjela Jr

    Fundi bora kabisa wa Tiles

    Chukua mawasiliano yangu tuzungumze Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Samjela Jr

    Fundi bora kabisa wa Tiles

    Niko Dar es salaam... Kuhusu bei ya kazi kwetu sisi hakuna bei elekezi... hivyo ni jambo la kuelewana private Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Samjela Jr

    Fundi bora kabisa wa Tiles

    Je, unahitaji nyumba yako iwe ya tofauti kwenye sekta ya Tiles? Usisite kunipa kazi ili uweze kuifurahia nyumba yako zaidi. Tunapatikana Dar es salaam lakini sehemu yeyote tunaweza kufika na kufanya kazi. "Nyumba yako Fahari yako" 0676 214 974 /WhatsApp 0714 122 011 /Call Sent using Jamii...
  5. Samjela Jr

    Fundi bora kabisa wa Tiles..

    Inshaallah nitashukuru sana brother [emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Samjela Jr

    Fundi bora kabisa wa Tiles..

    Niko Dar es salaam lakn sehemu yeyote nitakayopata kaz nitafika kuifanya kaz hyo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Samjela Jr

    Fundi bora kabisa wa Tiles..

    Lakini nikutoe hofu na shaka tuu boss... Bei zetu ni nafuu mnooo ukilinganisha na Ushauri utakaopata ili nyumba yako iwe tofaut kidogo... Ukilinganisha na uaminifu wetu... Ukilinganisha na usafi narudia tena usafi kaz nyingi zinaonekana sio nzuri kwasababu ya uchafu kunauchafu ni ngumu sana...
  8. Samjela Jr

    Fundi bora kabisa wa Tiles..

    Bei ni makubaliano baina ya mimi na wewe boss hvyo nafikiri isingependeza kuwa wazi kabisa maana hakuna bei elekezi kwenye kazi zetu hizi boss wangu.... bei inalingana na eneo la kaz na changamoto zake za hapa na pale... kwamaana hiyo ingekuwa vizuri kama Ungenitafuta kwa mawasiliano yangu...
  9. Samjela Jr

    Fundi bora kabisa wa Tiles..

    Kwa mahitaji ya fundi tiles usisite kunitafuta.... Nyumba yako Fahari yako ifanye iwe ya tofauti kwenye sekta ya Tiles.... 0676 214 974 WhatsApp 0714 122 011 Call/txt Karibu tukuhudumie [emoji120][emoji120][emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Samjela Jr

    Natafuta kazi yeyote

    Ni kawaida yetu watanzania kutetea uov Tunatabia ya kukatishana tamaa na kukosoana mno Yani mtu awez kuona jambo jema akakosa baya atalitafuta tuu hata kama ni lauzushi Sikupenda kauli alio itumia hata Raisi wetu huvaa kofia lakini mimi kuvaa kofia na kuigeuza nyuma imekuwa dhambi Lakini icho...
  11. Samjela Jr

    Natafuta kazi yeyote

    Yote kwa yote asanten ndugu zangu asanten sana
  12. Samjela Jr

    Natafuta kazi yeyote

    Usimjaji mtu kwa vile unamuona muonekano wake tuu Unaweza ukamuona mtu kavaa mlegezo ukadhani ni muhuni kumbe amevaa vile kwa lengo gulani kwa muda fulani Unaweza muona Sheikh kanisani afu ukaona kama vile ni mnafiki kumbe uwezi jua ni kwanini yuko pale But yote kwa yote asante kwa maono yako...
  13. Samjela Jr

    Natafuta kazi yeyote

    Yap Ninalishughulikia hilo
  14. Samjela Jr

    Natafuta kazi yeyote

    Asante Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom