Recent content by samirnasri

  1. samirnasri

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa shule ya Martin Luther jijini Dodoma kawageuza wazazi kitega uchumi, anatakiwa kushitakiwa

    Viwango vya elimu gani unazungumzia shule imeingia top ten kitaifa Mara moja tu Tena wakati huo ikiwa imesajili shule mbili ndani ya eneo moja. Walioingia top ten walikuwa wanafunzi wenye uwezo wa juu ambao walikuwa 42 tu
  2. samirnasri

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa shule ya Martin Luther jijini Dodoma kawageuza wazazi kitega uchumi, anatakiwa kushitakiwa

    Hilo la kumuhamisha halina mjadala nimeshaipata shule mbadala ila hapaswi kuendelea na upuuzi huu. Uniform zenyewe anauza garama ajabu.
  3. samirnasri

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa shule ya Martin Luther jijini Dodoma kawageuza wazazi kitega uchumi, anatakiwa kushitakiwa

    Kwa wakazi wa Dodoma jina Martin Luther sio geni unapozungumzia suala zima la elimu. Ni shule iliyopo eneo la kisasa njia ya kuelekea Dar es Salaam. kwa ujumla shule ina mazingira ya kuvutia kwa muonekano wa nje. Kwa upande wa taaluma pia imekuwa miongoni mwa shule bora mkoani Dodoma ikiwa...
  4. samirnasri

    JamiiForums Tanzania Tulionya tukapuuzwa, Laana ya Dr. Slaa ni kali

    hivi kwa mtazamo wako unaona kuna uchaguzi siku hizi
  5. samirnasri

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya, uongozi mzima wa CHADEMA unapaswa kujitathmini na kuachia madaraka

    duh bado tuna safari ndefu sana watanzania
  6. samirnasri

    JamiiForums Tanzania Tulionya tukapuuzwa, Laana ya Dr. Slaa ni kali

    Aliyekwambia hawana imani ni nani?
  7. samirnasri

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya Rais ndiyo matokeo ya chaguzi hizi za hovyo

    weka video kuthibitisha kwambaalisema hayo maneno vingenevyo yatahesabika kama ni uzushi tu
  8. samirnasri

    JamiiForums Tanzania Misungwi, Mwanza: Aenda jela miezi 6 kwa kosa la kumdhihaki Rais Magufuli

    inawezekana hakupata wakili wa kumtetea ushndi ulikuwa nnjennje
  9. samirnasri

    JamiiForums Tanzania Tulionya tukapuuzwa, Laana ya Dr. Slaa ni kali

    hata kama dr slaa angeendelea kuwepo kwa mbinu hizi zinazotumika mambo yangekuwa yaleyale
  10. samirnasri

    JamiiForums Tanzania Waliohamia CCM hiki ndicho kitawapata!

    Watapata tabu sana wameamua kuacha mbachao kwa msaala upitao
  11. samirnasri

    JamiiForums Tanzania Makonda: Nisemeni, mkichoka mtanyamaza

    kama hakuongelea kuhusu vyeti vyake basi ni kweli atakuwa alitumia vyeti vya mtu
  12. samirnasri

    JamiiForums Tanzania Wakufunzi wa UDOM wafukuzwa kwenye nyumba kuwapisha mawaziri waliohamia Dodoma

    Kwa taarifa tu kabla ata ya mpango wa magu wa serikali kuhamia Dodoma kila waziri na naibu waziri alikuwa na Nyumba Dodoma. Pili, kwa mujibu wa standing order professor anastahili kupewa nyumba. Hivyo taarifa hizi mzipuuze hazina ukweli wowote. Ukweli ni kwamba baadhi wa wahadhiri waliokuwa...
  13. samirnasri

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na mama yake wahamia CHADEMA kutoka CCM

    ni haki yao ya kikatiba kujiunga na chama chochote wanachokitaka
Back
Top Bottom