Ndugu john mbatizwa jibu ni hapana hawaruhusiwi kabisaaaa maana nchi yetu sio ya vyama vingi katika itifaki za kiutawala ila ni ya vyama vingi kwa nje kuwapendezesha mabwana zetu mabeberu! So wanaruhusiwa only ccm chama dola kama kanari k
Mmoja wa akawa mwenezi ccm
Baada ya kutokea kifo cha Hayati Magufuli, kumekuwa na mitizamo tofauti tofauti juu ya uongozi wake. Upande mmoja ukisema Magufuli alikuwa anaongoza nchi vizuri sana wengine wakisema aliongoza nchi vibaya vibaya mno!
Hawa hapa ni baadhi ya viongozi wa Serikali na wa Chama cha Mapinduzi...
Katika karne hii 21 taifa linaendeshwa kama enzi za ujima. watu wote tunalazimishwa kufikiri sawa, yaani wanataka woote tuhuzunike.
Hii si sawa. watu woote hawa wamefika makazini hawajui cha kufanya baada ya kufika kazini na kuamlishwa kutawanyika. nakulilia Tanzania yangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.