Ni kweli,,,,kama nchi tunatakiwa tuwe na mwelekeo wa kitaifa,,,,iii ata aje nani inakuwa ngumu kubadilisha zaidi atakachoweza ni kuboresha na kufanya malengo ya kitaifa yaende kwa kasi,,,,, hatuwezi tukawa tunabadilika badilika kila siku,,,,,, kilimo kwanza saivi kwisha abari yake,,, nguvu zote...