Recent content by Samcezar

  1. Samcezar

    JamiiForums Tanzania Kuna ongezeko kubwa la simu refurbished daraja la mwisho, Simu aliyonunua rafiki haikamati 4g, wauzaji viburi, Tumetumia polisi kurudisha fedha

    Ingekuwa vema kila ambaye alikutana na changamoto za simu kuuziwa simu yenye shida au mtu wake wa karibu alikutana na kadhia ya kuuziwa famba then tujuzane majina ya maduka yenye hiyo michezo. Mimi nina uhakika na huyu hapa kuwa alishawahi tenda hiyo michezo. Kama kubadilika iwe ni sasa ila...
  2. Samcezar

    JamiiForums Tanzania Muhimu: Usinunue Simu Used / Refubrished bila kusoma uzi huu

    Huyu mwamba ni wa kuwa nae makini. Refurbished zake ni zile unatumia baada ya muda inazimika bila sababu,ukimrudia anakugomea kukupatia msaada anataka ubebe hasara wewe binafsi yeye ameshamalizana na wewe.
  3. Samcezar

    JamiiForums Tanzania Video: Taharuki yaibuka duka la simu baada ya mteja kulalamika kauziwa simu yenye matatizo huku wauzaji wakikanusha

    Simshauri mtu aende duka la huyu jamaa. Ndio michezo yake anakuuzia simu ikikuzingua hana msaada na wewe anakuachia jumba bovu.
  4. Samcezar

    JamiiForums Tanzania Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

    "Aoae mwanamke mwenye mtoto na hana akili" Da'vinci' 2024. [emoji1540]Wajukuu zetu watakuwa wanakusoma kwenye somo la sosholojia miaka ya 3024 huko kama mhenga wa miaka hiyo. [emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Samcezar

    JamiiForums Tanzania Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

    Hii point ni nzito sana, inatakiwa ikapelekwe bungeni kujadiliwa. Ila wale wasimbe pale bungeni ni wanafiki sijawahi kupata kuona.
  6. Samcezar

    JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Nendeni sasa au kondoo hawapatikani? Bebeni hata nguruwe muende nao mtaongea na mizimu tu itawaelewa. Na hawa wazee kwann wanapenda kuendekeza mikataba ya siri na mamizimu yao huko maporini? Aaaaagh
  7. Samcezar

    JamiiForums Tanzania Unahitaji mtoto wa Kambo au Kumuasili?

    Ni mtazamo na fikra zako tu, nadhani wewe ndie unatakiwa kubadilika na kupewa elimu kuhusu matumizi sahihi ya neno kambo.
  8. Samcezar

    JamiiForums Tanzania Unahitaji mtoto wa Kambo au Kumuasili?

    Acha mizaha na utoto wewe, unadhani hapa tupo kwenye mchezo na mizaha? Watu wanajadili mambo ya msingi unaleta utani utadhani kila sehemu ni sehemu ya utani.
  9. Samcezar

    JamiiForums Tanzania Unahitaji mtoto wa Kambo au Kumuasili?

    Hii program ni nzuri sana kuwasaidia watoto kupata malezi ya familia na kuwa na nyumbani kwao. Hakuna kitu kibaya kama mtoto kukua akiwa hajui kwao ni wapi, hajui nani wa kumwita baba nani wa kumwita mama. Pongezi sana kwako na kwa wizara kwa kulitambua hili mheshimiwa waziri. Naomba kuongezea...
  10. Samcezar

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata spray ya kuondoa mikwaruzo kwenye gari?

    Wapo mikocheni pale njia kama unakwenda rose garden pale. Au nenda kule barabara ya kawe ulizia gereji ya spring city ya wachina. Utaelekezwa.
  11. Samcezar

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuzuia magari madogo kuoza, kwa Dar

    Kuwa makini na maji unayooshea gari, inawezekana unatumia maji yenye chumvi.
  12. Samcezar

    JamiiForums Tanzania Je naweza weka engine ya CC1290 gari iliyokuwa na CC990

    Inakaa tena vizuri tu.
  13. Samcezar

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni mwiko kumnyima mtu chakula?

    Sio vizuri kumnyima mtu chakula.
Back
Top Bottom