Recent content by SamBug

  1. SamBug

    Captain Mbwana Samatta nakuomba tusamehe Watanzania, Taifa Stars ikifungwa mbaya Wewe ila ikishinda Sifa wanapewa Wengine

    Umenena kweli Ila penye kubeba lawma anapokosa nafasi za wazi hakuepukiki siyo kwake Tu team nzima bila kumsahau bocco na msuva
  2. SamBug

    Captain Mbwana Samatta nakuomba tusamehe Watanzania, Taifa Stars ikifungwa mbaya Wewe ila ikishinda Sifa wanapewa Wengine

    Akifanya upumbavu na wenzie tutamsema Sana Ila akishinda tunapongeza imagine tingeshinda mechi ya Benin hapa taifa tungekuwa wapi SA hizi mkuu
  3. SamBug

    Tuliochoshwa na Taifa Stars pamoja na Usimba na Uyanga huku tukiiombea Kesho ifungwe Benin tafadhali tujitokeze tujuane

    Nina umuhimu Sana na ni kijana mzalendo ktambo Ila kweny ukweli tunasema hamna uzalendo kwenye kutetea upumbavu kila siku
  4. SamBug

    Tuliochoshwa na Taifa Stars pamoja na Usimba na Uyanga huku tukiiombea Kesho ifungwe Benin tafadhali tujitokeze tujuane

    Kifupi team ya taifa inakera na haina matumain ya kudumu ni zima Moto Tu hata maandaliz ukizingatia hata kikosi kinavyoitwa usimba na uyanga umewajaa kero kuwa bench la ufundi linaingiliwa zimezoeleka mgawanyo wa majukum hamna kabisa kila mtu anajitia kocha na wachezaji wenyewe hawajui thamani...
  5. SamBug

    Newcastle United na safari ya kuwa Timu Tajiri zaidi Duniani

    Kinachofanya wasiweke data zao za mapato na vyanzo vyao ni kipi hasa mbona naona kama kuna tatizo?
  6. SamBug

    Taifa Stars tafuteni kipa mahiri na siyo Manula

    Taifa anakosa penalty kaizer kakosa clear chance kama tatu
  7. SamBug

    Taifa Stars tafuteni kipa mahiri na siyo Manula

    Nikikumbuka mech ya kaizer nakosa Amani plus biashara na mazembe
  8. SamBug

    Newcastle United na safari ya kuwa Timu Tajiri zaidi Duniani

    Umeuliza swali zuri mkuu nasubir majibu
  9. SamBug

    Wanajukwaa tushee Stress za mapenzi na vioja vyake

    Unaweza jikuta unavua samaki kwenye swimming pool
  10. SamBug

    Mbuzi wa mitaani Dar es salaam mjini

    Ila huyu mbona kama CDM vile anachana bango la mgombea hadharani imekaaje hii kitaalamu zaid 🏃🏃🏃🏃😂
  11. SamBug

    Mbuzi wa mitaani Dar es salaam mjini

    Wa mjini wa mjini Tu Hadi mbuz
Back
Top Bottom