Recent content by sambu

  1. S

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?

    hahaha...... abuse ya teknolojia na jibu hilo linathibisha tatizo. Namna hii tutufika tumechoka. Any way, hatimaye nimefanikiwa.
  2. S

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?

    Tatizo bado ni kubwa . Leo tangu saa 7 mchana napata shida kununua ticket, nafasi zinaonekana zipo ila nikikaribia hatua ya kukamilisha process nipate bill kulipia mtandao unakwama hapo.(kimviringo cha njano kinabaki kinazunguka bila kikomo). Ina maana leo tickets hawauzi kwenye mtandao? Na ipi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Hongera mkuuu wa mkoa Dodoma. Umeonyesha leadership. Licha ya makosa kuna kurekebishana bila kudhalilishana mbele ya watu. Matatizo yamesemwa mbele ya watu na hakuna aliyekuwa embarrassed. Then inaweza kufuata face to face kwa anayehusika kujua chanzo cha mapungufu ili kumsaidia kama anahitaji...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Internship (Manamba) mashambani Israel?

    Kwa uwezo wa fikra hasi kwenye wachangiaji wengi humu sidhani kama wanajua degree ya kilimo/ mifugo inahusika na nini na hata kama SUGECO wakitoa maelezo hawawezi kuwaelewa.. Degree ya kilimo ni zaidi ya cheti na ni zaidi ya class ya degree yako. Lazima ujue a-z ya operations za kilimo/ufugaji...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Profesa Nonga: Vifaranga 62,730 kutoka Ubelgiji vilivyokamatwa JNIA vyote vimefia Airport

    Inasikitisha sana kwa vifaranga kufungiwa ndani kwa siku zote hizo hadi vikafa huku "wataalam" wakijua kuwa hawa ni viumbe hai tena dhaifu ambao umri wao ni chini ya siku 5. Sasa hapo sijui kama walikuwa wamejifungia ofisini kwao huku wamewasha AC wakiitisha makaratasi yaende ofisini ili...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM mmeamua kutusaliti wananchi, Tunaenda kukumbwa na njaa kubwa hali ni mbaya

    Mnawasemea Wakulima kama watu ambao hawajui kitu. Mimi nafanya biashara ya kununua mahindi direct kwa wakulima kwa matumizi ya ndani. na tunapambana na Wakenya. Bei gunia sh 85,0000 hadi 95,000 analipwa mkulima bila Dalali. Miaka ya nyuma angekuwa analamba 40,000. Acha wapone majeraha ya huko...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Sisi ni wawakilishi wa chama na hatukuja Bungeni kwa bahati. Nafasi zetu za Ubunge hazipo hatarini hata kiduchu

    Huu mchezo wa hawa wabunge unasababisha watu kudemka mitandaoni. Wanakuwa declared na Baraza kuu kuwa wamefukuzwa na kama sikosei na mkutano mkuu baada ya kuchakata rufaa zao. Ingawa mimi si mwana sheria ula nijuavyo (naweza kusahihishwa) utaratibu ni kama wamekata rufaa wanaendelea kuwa wabunge...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Meneja: Uwanja wa ndege Chato unahudumia abiria 250 kwa mwezi

    Amesema mara tatu kwa wiki, soma vizuri yaani mara 12 kwa mwezi
  9. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

    Hii ilianzia kwenye kesi ndogo ya nyuma. Wao wanajikita kwenye maswali mepesi mambo makubwa yanawapita. Jaji aliwashangaa kwa jinsi walivyo ruhusu ushahidi kupokelewa wakati walikuwa na nafasi ya kuupinga na hii ilikuwa obvious hata kwa asiye mwanasheria. Sina uhakika wa maswali ya kunywa mo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania RC Makalla awatuliza wananchi kiluvya waliopanga kufunga barabara leo

    Kulikuwa na thread huko nyuma na nilichangia kama ifuatavyo. Nakuunga mkono “ Kama tumeisha amua kwenda na teknolojia ya barabara za kisasa tusiende nusunusu. Funga camera kwenye kila zebra/50kph limit na weka control center moja kila upande ili police waweze...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Kimara vs kibaha kuwekwa matuta kwenye vivuko vya watu karibuni

    Kama tumeisha amua kwenda na teknolojia ya barabara za kisasa tusiende nusunusu. Funga camera kwenye kila zebra/50kph limit na weka control center moja kila upande ili police waweze kuona magari yote yanayovunja sheria kwa kutoheshimu vivuko. Protect hizo picha zisifutwe kuzuia rushwa. Ndani ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Kila Mzanzibar anayetaka Chanjo ya COVID-19 atapata, hakuna mgeni ataingia bila cheti cha Vipimo vya Corona

    Pole ndugu. Basi pata nafasi u google katiba ya Zanzibar kwa jibu la uhakika.
  13. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu Tawala Arusha, Bw. Richard Kwitega afariki Dunia

    Apumzike kwa Amani. Ila madereva wa serikali na hizo overtake zenu hapana. Sasa ukichanganya na overtake za mabasi inakuwa si hali. Hata kama mnaendesha magari ya serikali (au hata mabasi) jueni ajali haichagui uimara wa gari au status ya gari-nashangaa hata hamuofii maisha yenu wenyewe mnovyo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania On Corona Virus: Magufuli is the Worlds luckiest leader

    Nadhani hayo maventilatora ndo yanawamaliza wazungu. Nyungu na tangawizi/limau vimesaidia sana. Si kwamba ugonjwa haukuwepo au haupo bali watu wanaugua na wanapona. Muitikio wa nyungu na hizo chai ulikuwa mkubwa mno ngazi ya familia. Na Mungu akatuponya. Hivi hayo masuti ya kujikinga na...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Shule za Tusiime jitafakari na uwalipe wafanyakazi stahiki zao

    Hapa ni kukaa chini muajiri/muajiriwa na kuja na win win situation. Mwalimu anadai alipwe mshahara wakati hajaingia darasani kufundisha na mwajiri anadai hana pesa ya kumlipa kwa sababu chanzo chake cha mapato kimesimama. Wote wapo sahihi. Mwalimu anafikiri mwajiri ana pesa nyingi za ziada...
Back
Top Bottom