TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,077
Sometimes this world needs crazy decisions and crazy decision-makers if that's all it takes to make it a better place for humankind... by Chige.
Very powerful statement
====
Nirudi kwenye hoja.
Mkuu, Chige , vipi hauamini kuwa Sweden nao wanaweza kuchezewa mchezo mchafu tulotaka kuchezewa wa kuonyesha janga ni kubwa kuliko uhalisia?
Umefafanua vizuri juu ya herd immunity. Mkuu unasahau kitu kimoja, mbali na maombi, na hiyo strategy ya herd immunity pia sisi Tanzania tulitumia plan B. Tumepiga 'nyungu' vya kutosha. Watu hawakufanya masihara na matumizi ya dawa za asili. Hiyo nayo si yakubeza. Sweden yawezekana hawakufaulu kwa sababu ya kukosa plan B na kupata madawa ya asili tuliyotumia. Pia sisi ni waafrika Sweden ni wazungu. Kuna uwezekano, hata uafrika wetu na mazingira tunamoishi vimetuwezesha kuitimua Covid19 ama yenyewe imeamua kubaki hapa kwa adabu !!
Pia sisi hatukuishia hapo, tumeenda na Madagascar kuchukua dawa ya asili na sisi tumeibuka na dawa yetu kuikabili corana! Vyote hivi vimetumika kukabili corona. Kikubwa kabisa baada ya kugundua Corona inacheza na immunes za mwili, Rais wetu Dr. Magufuli, alituhimiza watanzania wote tuepuke uwoga. Maana uoga ndiyo chanzo kikuu cha kushusha immunes ambazo ni muhimu kukabiliana na magojwa mbalimbali likiwemo Corona. Watanzania tulio wengi tumemsikia Rais wetu, tumemuelewa na tumetekeleza mikakati ya kuondoa uwoga. Nchi zetu jirani hawakutumia mbinu zetu.
Wenye macho makali kutoka ng'ambo wameliona tendo tulilolifanya ila wanaona aibu ama wivu kutusifia ndiyo maana mwandishi huyu wa makala kupitia RT.com, Ndugu Neil Clark, amewaumbua. Jisomee hapa chini.
>>>If black lives matter, then why are African leaders with a different take on Covid-19 being taunted?
Mkuu, sasa kwa maelezo hayo hapo juu, unashindwaje kuamini kuwa, mbinu yetu kama nchi imezaa matunda ya kuidhibiti Corona kwa kiasi kikubwa ? Siamini kuwa ulitaka mbinu zetu hizi zidhibitishwe na WHO ama EU kuwa ni bora kwa ajili yetu ndio uziamini!! Mimi nasema siamini kama ulitaka hivyo! Hata hivyo, utalazimika kutumia jicho la tatu kuelewa washadadia matumizi ya 'vaccine' kwa nguvu zote, ambao wanataka herd immunity ya vaccine. Jisomee hapa chini mwenyewe. Kwa ufupi, sisi kama nchi tumewatibulia..na kwa vyovyote vile watatumia kila hila kutuudhi!
>>>Bill Gates says ‘final hurdle’ to distributing a Covid-19 vaccine will be convincing people to TAKE IT
Karibu kwa mrejesho.