Hv unaposema mkuu wa mkoa ni muwakilishi wa Rais unamaanisha nn,anamuwakilisha Rais kwa nani, kama sio watu hao hao waliopata matatizo?sasa ni kosa kwa Rais kumwandikia mkuu wa mkoa barua? Maana hata wao wabunge, madiwank na hata wenyeviti wa Halmashauli bado wapo chini ya mkuu wa mkoa.binafsi...
Haya mambo ndo yananifanya niichukie siasa hasa ile ya kukosoa tu kila kitu tena bila hata kutoa ushauri nini kifanyike, kitu ambacho sikielewi na najiuliza hv ni kwl huyu Rais wetu hakuna jambo jema hata moja alilofanya kiasi cha hao wanaojiita upinzani kumpongeza??? Mi nadhan tufike mahali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.