We ndo hujui kitu ila waliopita USA Boys wanaelewa sijamaanisha USA ya Chuga hii ni Usagara Sec tunaiita Usa Boys kwakua Advance ina Boys tu na ina Hostel mbili moja ndan ya Shule ingine iko Town nako ziko mbili kwenye Compound moja,ipo karibu na hyo bustan ya Uhuru park,so punguza ujuaji bro
Hizi ishu za dini mlimindigi hata Azam tv na Tamthilia zake,haya sahivi TBC kila baada ya mda wanawatakia watu mfungo mwema wa Ramadhan,kuna vitu vingine unaacha tu vipite,huwezi kumind harufu ya pilau kwa jirani kisa wewe unakula ugali
Mnabishana ishu za ajabu wakati Tangazo limesema wazi uwe umepita Jkt kwa miaka miwili ukarudishwa home au upo jkt kwa miaka miwili,sasa mujibu mnaingia wap hapo na miezi yenu 3
Tatizo sisi tuliobahatika kusoma kidogo tunataka kazi za kukaa ofisin tu bila kujishughulisha na mbishe zingne,sahivi namtafuta mwana aniunge kwa wakala wake potelea mbali
Sio lazima hata ule kazi,me nina mwana yupo Qatar ni mlinzi wa supermarket ye ni Mkenya alisoma fresh tu ila akaingia kule kama mtu alyeishia sec,kapiga kaz ukua anatafta michongo kupitia elimu yake now kaajiriwa anakula hela fresh tu kaoa uku tz kwetu,aliwahi niunganisha nikauze supermarket...
Hongera sana kwa story nzur bro pia hongera kwa kuoa Ugweno though sijajua wife katokea Kifula,Mwaniko,Vuchama,Mangio,Masumbeni,Msangeni,Kikweni,Mriti,Kivisini au Butu na Kambiasimba,ila mpe hi sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.