Kuna magonjwa mengi yanayosababisha mkojo kutomalizika(dribbling) Kwa wanaume,kwenye Figo(mawe kwenye figo) kwenye tezi ya kiume (prostate). maambukizi ya tezi(prostatitis).,saratani ya tezi(prostate cancer) kuvimba Kwa tezi(kibongo wanaita tezidume)ila nikwawatu walioenda age,Kama unaumri chini...
1)Kwa Kumuangalia Kwa macho dalili gani unaeza mtambua mwanamke mweupe asiye na upele mahala anaeishi na v.v.u.? 2)kupatwa mafua 1week baada ya maambukiz ya vvu ni 89% Kwa kila MTU je, mafua yake yanatofauti gani naya allergy au mafua ya kawaida? 3)After2week tu unaeza pata dalili Kama...
Mwanadamu hukuumbwa ili uwe na hofu ya kifo ila hofu ya Mungu,ungekuwa unatenda mema na una Mungu ndani sizani kama ungejiwazia kifo kemea ilo nipepo laumauti linakuangaisha, ata bible imeandika wenye hofu za dunia hawataurithi ufalme wa mbinguni, ingawa namimi nipo kwenye hofu Ila Mungu...
nishatoka kwenye dozi ya pep 2015 kuna msichana alining'ata wakati nikiwaamua ugomvi alikuwa na damu mdomoni bahati nzuri chini ya police alikubali nimuathirika nikaanzishiawa dozi nilvyomaliza nikakutwa mzima. asa limerudi tatizo lilelile
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.