Recent content by Samaki Singa

  1. Samaki Singa

    JamiiForums Tanzania KERO ATCL imulikwe huenda kuna hujuma, ratiba za safari zao hazieleweki

    Kuna haja ya kuimulika ATCL, Shirika la Ndege la Taifa.Sasa hivi ratiba zake hazieleweki hadi kufikia hatua ya kuwatelekeza wafasiri bila kuwapa sababu za msingi za kufanya hivyo. Usiku huu wa tarehe 17 June. 2024 abiria wa ndege namba TC 103 iliyoondoka Mwanza saa 4.00 usiku "wametelekezwa"...
  2. Samaki Singa

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa waislamu kufunga barabara kisa wanaswali?

    Umejibu vema sana
  3. Samaki Singa

    JamiiForums Tanzania TRC tengeni vyumba maalum vya wagonjwa kwenye treni

    Haikuwa nia yangu kutoa hoja hii, lakini kadiri siku zinavyosonga ndivyo hali inavyozidi kuwa mbaya katika usafiri wa treni zinazoendeshwa na Shirika la Reli Nchini(TRC). Tunatambua TRC inatoa huduma, hivyo haitakiwi kuwa na ubaguzi kwa wasafiri wanaoendelea kutumia usafiri wa shirika hilo...
  4. Samaki Singa

    JamiiForums Tanzania Siharibu biashara: Mliowahi kunywa maziwa mtindi wa Asas mliwahi umwa kama Mimi?

    Hata mimi nilikutana na changamoto hiyo.Watoto wangu pia wote waliharisha
  5. Samaki Singa

    JamiiForums Tanzania Inakuaje Mama Mjamzito HIV + (ve) anajifungua Mtoto HIV - (ve)?

    Mambo ya sayansi hayo.Mama anapokuwa mjamzito hupewa dawa(chanjo)maalum ya kuzuia virusi alivyo navyo visiingie kwa mtoto. Ndio maana nawashangaa wanaopinga chanjo ya corona ya kuwaepusha na virusi vya maradhi hayo wakati waathirika wa HIV walikubali chanjo inayowawezezha kuzaa watoto wasio na...
  6. Samaki Singa

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sindano inayozua gumzo kwa wachomwaji wa kinga dhidi ya corona.

    Hizo ni propaganda za kitoto.Tuache ujinga
  7. Samaki Singa

    JamiiForums Tanzania TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU

    Tunaomba tujuzwe na TANESCO kuna matatizo gani yametokea kwenye mtambo wa luku toka jana jioni mpaka alfajiri hii. Wananchi tupo kizani nchi nzima kwa kushindwa kununua umeme. Tunakuomba Waziri wa Umeme Mhe.Medard Kalemani ujitokeze hadharani na kutupa maelezo ya kina juu ya jambo hili. TANESCO...
  8. Samaki Singa

    JamiiForums Tanzania Rais Mama Samia kuwa makini na hili zuio la Polisi kuhusu Pasaka

    Hivi ni nani asiyejua kuwa taifa limo kwenye maombolezo ya msiba wa mpendwa wetu Dk.John Pombe Magufuli? Hivi mtoa hoja ungekuwa na msiba ndani mwako na pasaka ikakukuta, ungeshughulika na msiba au ungekwenda kusherehekea pasaka? Tambua serikali inathamini uhuru wa kuabudu na inaheshimu dini...
  9. Samaki Singa

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hili suala la mbwa kuua mwizi na mmiliki wa mbwa kufunguliwa shtaka la mauaji

    Hili ni shambulio la mbwa na halikuzidi dk 3
  10. Samaki Singa

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hili suala la mbwa kuua mwizi na mmiliki wa mbwa kufunguliwa shtaka la mauaji

    Mbwa akikushambulia barabara, anakuuawa. Mmesahau ya Mzée Kingunge?
  11. Samaki Singa

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kamanda wa Polisi ACP Jonathan Shana afariki Dunia

    Mungu ampumzishe kwa amani
  12. Samaki Singa

    JamiiForums Tanzania Katibu wa UVCCM kata ya Hananasifu akutwa na hatia ya kuishi nchini bila ya kibali

    Rajab Mwilima mbona wanampotezea? ni Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa Wazazi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Samaki Singa

    JamiiForums Tanzania Siasa za Kamanda Muroto na Kifo cha Sheikh Rashid Bura

    Marehemu Bura ni askari polisi mstaafu, hivyo Jeshi la Polisi kutoa usafiri ni jambo la kawaida Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Samaki Singa

    JamiiForums Tanzania Lema na CHADEMA wajipange sawasawa

    Ni wazi kwamba kujiondoa kwa Meya wa Jiji la Arusha, Bw. Kalist Laizer na kujiunga na CCM kuna malengo maalum ya kuizika CHADEMA katika Jiji hilo. Laizer ameandaliwa na anajipanga kuwa Mbunge mpya wa jimbo hilo mwaka 2020 kupitia chama kubwa CCM. Mwanasiasa sio mwenzio. Chukua tahadhari!
Back
Top Bottom