Recent content by Samakamba

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hofu ya ulinzi wa taarifa binafsi kwa waomba kazi na wananchi: Uzoefu wangu binafsi kama funzo

    Katika dunia ya sasa ya kidijitali, taarifa binafsi zimekuwa mali nyeti yenye thamani kubwa kuliko hata fedha. Hata hivyo, kwa vijana wengi wahitimu wa vyuo, hususan wanaotafuta ajira au kujihusisha na mifumo ya taasisi mbalimbali, ulinzi wa taarifa binafsi bado ni jambo linalotia hofu kubwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mungu, ila kuna nguvu ya asili ambayo haina ukomo wala mwanzo

    Mjinga mmoja tu wewe usie na akilii
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa HESLB na RITA Unatuumiza Maskini – Msaada Unahitajika Haraka

    Ndugu wanajamii, Naitwa Sese, Naandika ujumbe huu nikiwa na maumivu ya moyo na sintofahamu kubwa juu ya hatima ya mtoto mdogo ninayemshughulikia kwa ajili ya mkopo wa elimu ya juu. Katika hatua ya kujaza fomu ya mkopo (HESLB), kwenye kipengele cha preliminary information, ukiweka taarifa za...
  4. S

    JamiiForums Tanzania HESLB hawafanyi haki kwa hili

    Je, Mfumo wa Mikopo ya HESLB kwa Postgraduate ni wa Haki? Mwandishi: Mr. Makizube Hakunaki Ndugu wanajukwaa, Baada ya kupitia kwa kina miongozo ya utoaji wa mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wa shahada za uzamili (Master’s) na uzamivu (PhD) kwa mwaka wa masomo 2024/2025, nimeona kuna...
  5. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Baadhi ya wanafunzi waliopata Samia scholarship UDSM wakumbana hali ngumu kufuatia kutopata fedha za kujikimu na ada ya masomo

    Changamoto za Wanafunzi Walionufaika na Samia Scholarship – Ombi la Msaada Tunapenda kuwasilisha changamoto zinazowakumba baadhi ya wanafunzi walionufaika na Samia Scholarship katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Wanafunzi hawa wanakumbana na hali ngumu kufuatia kutopata fedha za kujikimu wala...
  6. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Dhana ya Utawala Bora

    Utawala bora ni dhana inayohusu mwenendo mzuri wa uongozi wa kisiasa, usimamizi wa umma, na maamuzi ya serikali. Lengo lake ni kuhakikisha kuwa serikali inafanya kazi kwa uwazi, uwajibikaji, ushiriki wa umma, haki, utawala wa sheria, na ufanisi. Utawala bora unahusisha maadili ya kidemokrasia na...
Back
Top Bottom