Nashangaa hii jumuiya ya wazazi inakoelekea ni kama inawendawazimu kwa tabia iliyoanzishwa ya kuanza kugombana na walimu kwa kuwalazimisha kununua sare za ccm na kuzivaa wakati wa kufundisha kwa lazima si haki kabisa ya mfanyakazi anayehudumia taifa letu bila kujali itikadi za vyama..kwa tabia...
Huu ni usanii ,yaani ukiwa shule binafsi ww si mwaminifu mara ukjiunga na shule za serikali unageuka na kuwa mwaminifu ,huu ni unyanyasaji wa walimu yaani chuo tusome aina moja lakini kwenye kusimamia wao waaminifu sisi hapana.mimi sipendiiiiii ubaguzi huu .je hiyo tsd namba inaweza kumbadili...
Inanishangaza kuona hawa wafugaji na mifugo yao wanavyotaka kufanya Tanzania iwe jangwa kwani wanasambaa kama viwavi jeshi sehemu zote zenye rutuba Tanzania..Wafugaji hawa ambao ni wasukuma mazingira ya kwao yaani shinyanga kwa sasa ni jangwa na wanaendelea kuharibu mazingira mengine...
Upandishwaji wa ada kiholela bila kuangalia miundo mbinu ya shule zao ni kuingiza siasa ktk elimu.Naona viongozi wa jumuiya ya wazazi ni kuangalia fedha ziingiazo siyo taaluma.Ninyi viongozi kama hamusimamii taaluma na mnapandisha ada kiholela hata fedha iliyokuwa inapatikana mtakosa.
muelekeo wa shule za jumuiya ya wazazi Tanzania si Mzuri kwani naona siasa nyingi zinazidi kutawala utendaji kazi .kwanza kuna tetesi kuwa ada itapanda na kuwa 800,ooo huu ni usanii kwani kuna shule ktk hizo hazina hadhi hiyo.Ninawasiwasi na viongozi wa jumuiya kuwa munaharibu hizo shule na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.