Kwa maoni yangu huyu bwana anastahili kuwa mahakamani muda kwa kosa la kusaidia uhalifu kutendeka. Kumpa mtu cheti cha shule au kuzaliwa ni kosa kisheria, hivyo asione sifa kuwa alimpa Duchu cheti. Kwanza anapaswa kujua cheti hakichezi mpira hivyo asidhani kuwa anaweza kumuharibia kazi Duchu...
Mimi nimeamua kupigana vita baridi kuacha mali kwenda kufocus kutafuta mali, muda wa kushinda mahakamani kusimama mbele ya hakimu na kupigazana kelele na mtu nina watoto nae huo u'strong nakuachia wewe Mkuu.. Nyumba nilijenga kwa nguvu zangu na naamini nguvu ya kujenga hata mbili nyingine ninazo...
Baada ya Miaka 4 ya purukushani na aliyewahi kuwa Mke wangu Leo nimeamua kwa hiari yangu kuweka silaha chini na focus yangu iwe kwenye kuboresha maisha yangu na kizazi changu, nimeamua kumtumia ujumbe hapo chini.
"Ulinambia wazi kwa kinywa chako kuwa nimeshindwa kulea watoto, hata ukasema ‘kila...
Mbona tunaoneshwa picha za mabasi ya Golden Dragon na tuliambiwa basi Scania na yanatumia gesi..
Itoshe kusema mnatuchanganya wakazi wa Mbagala hizi sarakasi zinatosha, mtuambie lini tutapanda hayo magari..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.